Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.
Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
View attachment 3203416
Unaona hapo?? Project ya Serikali hiyo kama Yai alivyosema. Lema hakuleta "collateral damage" ; alijaribu kuunganisha wanachama na kuacha majungu. Anayosema huyu lazima kaandikiwa na Serikali na CCM, 100%Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.
Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
View attachment 3203416
Huyu angenyamaza tu abaki na heshima kidogoWakuu,
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.
Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
View attachment 3203416
Wewe huoni hiyo project ya Serikali, open your mindDAAAA YAAANI CHADEMA ILIKUWA IMEJAA MIJIZI MITUPU SASAHIVI NDIYO INAANZA KUTAJANA MOJA MMOJA SASA WAKISHIKA NCHI INAKUWAJE LAKINI CHADEMA NAO HIVI KAZI YA LEMA TOKA ZAMANINI MWIZI MNAENDA KUMKABIDHI KAPU LA HELA KWELI? ARE THEY SERIOUS?
Wenje haaminiki tena kwa umma na WanachamaWewe huoni hiyo project ya Serikali, open your mind
Sasa usishangae ndiye akachaguliwa hiyo juzi-kutwa.Wenje haaminiki tena kwa umma na Wanachama
Hatari sana 😀DAAAA YAAANI CHADEMA ILIKUWA IMEJAA MIJIZI MITUPU SASAHIVI NDIYO INAANZA KUTAJANA MOJA MMOJA SASA WAKISHIKA NCHI INAKUWAJE LAKINI CHADEMA NAO HIVI KAZI YA LEMA TOKA ZAMANINI MWIZI MNAENDA KUMKABIDHI KAPU LA HELA KWELI? ARE THEY SERIOUS?
Ingefaa kama ungejibu hoja zakeMwambie Wenje atazitapika hela za Abdul safari hii.
Project yao na Mbowe na Sugu imeshafeli
Lisu ndiye mwenyekiti.Wenje amedai kuwa harakati za kukusanya fedha ambazo hadi leo hii haifahamiki kiwango chake, ambapo mchakato huo ulisimamiwa na Lema lengo kuu lilikuwa ni kumpindua Mhe. Mbowe.
Madai hayo ni mazito sana kutolewa na kiongozi mwandamizi wa chama dhidi ya viongozi wenzake.
Makamu Mwenyekiti Lisu anahusishwa kwenye uasi huo.
Kama ni kweli bali Lisu hafai kabisa kushika nafasi hiyo na anapaswa afukuzwe haraka iwezekanavyo.