Lissu , Heche kwa heri chademaKikubwa awe na ushahidi tu, kwanini alikaa kimya miaka yote kwa huo uhalifu wa kivita
Washaurini CHADEMA, viongozi wanavyotibuwana na "kusodoana" wajue wanatuambia kuwa hawafai kiaminiwa tena.Mkaamua kuungana na ccm
Mwambieni tunawataka hawa waasi na sio walamba asali wakiongozwa na Mwamba wa Zimbabwe pamoja na yeye dalali a.k.a project ya serikali kwa mujibu wa Nabii LemaMsikilize wenje anavyo mnanga Lisu kupitia Habaritv.
Lisu na genge lake ni waasi.
kwahiyo wapindue wakiwa canda na ubeligi matyako nini huyu!?Wakuu,
Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA.
Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo.
Yaani Wenje ameamua kwenda DEFCON 3 kabisa
View attachment 3203415
Alikuwa wapi siku zote kuyasema haya?Wakuu,