Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na hisia za waliowatuma Bungeni, instead wabunge wataamua wanavyojua au kuambiwa wao.
Swali ni je, Si kweli kwamba Kazi ya Mbunge ni kuwakilisha mawazo ya wapiga kura wao, inakuaje pale Mbunge anapoamua kupuuza mawazo, hisia na matakwa ya wapiga kura wake na kuamua kulala kitanda kimoja na Mtawala?! Au Wabunge pia wanahisi ni watawala?
Na ni kwanini siku hizi Wabunge wengi wanaongea kama Cabinet Members?...kila Mbunge anayesimama Kazi yake ni kuitetea serikali as if yeye ni Waziri, sasa Kazi ya kuwakilisha mawazo ya wapiga kura, kushauri na kuielekeza serikali nani atafanya?!