F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
Match Day!
20240215_113106.jpg

20240215_112344.jpg

JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General

Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam.​

Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni.

Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare mara 4 na Wamepoteza Michezo 6.

Simba wako Nafasi ya Pili wakiwa na points 33.
Mchezo huu ni muhimu sana kwa Simba kushinda ili kuweza kukamilisha mzunguko wa kwanza akiwa na points 36, tofauti ya Point 4 na anayeongoza ligi.

KIKOSI CHA JKT-TANZANIA KINACHOANZA.
20240215_154520.jpg

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO.
20240215_154706.jpg

20240216_002245.jpg

All the Best Mnyama....
#nguvumoja#.
 
Tuko vizuri kabisa kwa sasa
 
Wale wenye mchezaji wa kizenji anaefunga kuanzia dkk ya 85 na kuendelea kwa msaada wa Majini.... majini FC mlibwanjii...
😂 😂 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 😂 😂 😂 😂
Kila la heri Mnyama mkali...
Nguvu moja
 
Nyie Majini FC unapoandika comment yako yoyote, hakikisha kwa chini unamalizia kwa kujitambulisha wewe ni Jini gani kama ni Makata, Mahaba, Subiani, Maimuna, Shamrusi, Kibwengo nk [emoji1787][emoji1787]
Wanalo mwaka huu.....
😂 😂
 
Mbumbumbu Fc wanaingia uwanjani kifua mbele wakiwa wamenyakua kombe la Mayele[emoji2][emoji2]
 
Nyie Majini FC unapoandika comment yako yoyote, hakikisha kwa chini unamalizia kwa kujitambulisha wewe ni Jini gani kama ni Makata, Mahaba, Subiani, Maimuna, Shamrusi, Kibwengo nk [emoji1787][emoji1787]
Mi ni jini ''Kono la nyani'' [emoji2772]
 
Back
Top Bottom