F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Wale wenye mchezaji wa kizenji anaefunga kuanzia dkk ya 85 na kuendelea kwa msaada wa Majini.... majini FC mlibwanjii...
😂 😂 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 😂 😂 😂 😂
Kila la heri Mnyama mkali...
Nguvu moja
nguvumouya!!
 
Hivi kwanini simba na wao wasianze kutumia ule uwanja wa bunu katika ligi kuu
 
Benchikha hajawahi kutabirika
simbasctanzania-20240215-0001.jpg
 
Match Day!
View attachment 2904770
View attachment 2904771
JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General

Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam.​

Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni.

Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare mara 4 na Wamepoteza Michezo 6.

Simba wako Nafasi ya Pili wakiwa na points 33.
Mchezo huu ni muhimu sana kwa Simba kushinda ili kuweza kukamilisha mzunguko wa kwanza akiwa na points 36, tofauti ya Point 4 na anayeongoza ligi.

KIKOSI CHA JKT-TANZANIA KINACHOANZA.
View attachment 2905032

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO.
View attachment 2905033

All the Best Mnyama....
#nguvumoja#.
Saidoo anaanza baada ya Mzamiru Kuzingua sana last game
 
Back
Top Bottom