F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Wale wenye mchezaji wa kizenji anaefunga kuanzia dkk ya 85 na kuendelea kwa msaada wa Majini.... majini FC mlibwanjii...
[emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila la heri Mnyama mkali...
Nguvu moja
Hawa wote walipigwa [emoji2772]
 
Sadio mara nyingi amekuwa akipiga juu akiwa maeneo mazuri ya kufunga. Ana utimamu kweli?
 
JKT hawatatoka mikono mitupu, kama sio kushinda game. Wanaruhusiwa sana kufika golini
 
Sadio mara nyingi amekuwa akipiga juu akiwa maeneo mazuri ya kufunga. Ana utimamu kweli?
Saidoo Kafungwa Jini la Utopolo.
Hivi hujiulizi,
Kramo top scorer Ghana.
Onana top wa Rwanda.
Phiri top Zambia
Baleke top Congo
Saidoo top wa Tz
kwamba Hizo mashine zote 5 leo hamna kitu? Stuka brother. Akina Mzee Mpili sio watu wazuri.
 
Hivi huyu mwamuzi Tatu Malogo ana mkataba maalum wa kuchezesha mechi za Simba!!! Kwa hali hii Simba lazima itashinda tu huu mchezo.
 
Huyu mtangazaji anasema Magharib inakaribia sirias
 
Back
Top Bottom