Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Akishakuwepo Tatu, ushindi unakuwepo tu Sheikh.Vipi shekhe... Chama au Tatu, tuambie nani kafunga hapo?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishakuwepo Tatu, ushindi unakuwepo tu Sheikh.Vipi shekhe... Chama au Tatu, tuambie nani kafunga hapo?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Jibu swaliAkishakuwepo Tatu, ushindi unakuwepo tu Sheikh.
Basi ni jambo la kheri sheikh!.Akishakuwepo Tatu, ushindi unakuwepo tu Sheikh.
Umeona tumenyimwa penati? Fursa ya 2 hiyoAkishakuwepo Tatu, ushindi unakuwepo tu Sheikh.
Nimeona jini limepita hapa kibanda umizaAkishakuwepo Tatu, ushindi unakuwepo tu Sheikh.
Ni kupitia free kick?
Inashangaza unaacha watu kama kina Chasambi, Luis, Balua (ambao naamini kwa ligi ya ndani wapo sawa) unaingiza mtu hachezi kitimuIla Saidoo basi tu yani acha nikae kimya
Ndiyo mkuu, bila maombezi ni ngumu sana kupambana na majini, nipo hapa kuvunja viuno vya majini 😁Upo kwa Chief prophet Suguye?
Ana sifa zote za kuzomewa yeye na kocha wakeHili swala la saido naona lishakua gum mno ni swala la mda watu watachoka kumvumilia
Tupaze Sauti Saidoo atupishe. Anainyima timu ushindi sio leo wala jana. Hana team workInashangaza unaacha watu kama kina Chasambi, Luis, Balua (ambao naamini kwa ligi ya ndani wapo sawa) unaingiza mtu hachezi kitimu
Basi tufanye Chama alikuwa offside uskie rahaAkishakuwepo Tatu, ushindi unakuwepo tu Sheikh.
Chuma cha moto...Ebana eeh kumbe lilikuwa ni shuti kali namna hii??
View attachment 2905058