OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kocha yupo kama kapigwa ganzi timu inachezewa nusu uwanja. Beki inageuzwa kama chapati. Hapo kuna DM 3Hii Simba kusema kweli.... ila muhimu tushinde tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app