F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kipindi cha pili nitashangaa nikiona kakolanya anaingia tena
 
Pendekeza aina ya kipigo ambacho unataka tukitoe

Simba wapo halftime nami niko jirani hapa, jichagulie aina ya kipigo kisha nitwazungumza nao
Simba wakikutana na vibonde hubinuka binuka sana
 
Azam Wanadanganya Takwimu Hadi Mchambuzi Anaogopa Kusemaaa Eti Biashara kamiliki Mpira kwa 53%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…