F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kipindi cha pili nitashangaa nikiona kakolanya anaingia tena
 
Pendekeza aina ya kipigo ambacho unataka tukitoe

Simba wapo halftime nami niko jirani hapa, jichagulie aina ya kipigo kisha nitwazungumza nao
Simba wakikutana na vibonde hubinuka binuka sana
 
Back
Top Bottom