KabisaBenchi lote? Hiyo sahau mzee, matola hang'oki ngoooo
Safi sana atuongezee magoli 2Kaingia Morison
Alafu sina hata hiyo app,sijui nakwama wapi aseeMuhasibu inakosa bando la Azam Max
Utopolo wajifunze kwa vitendo maana halisi ya kudaka mishaleKakolanyaaaaaa......! Dah Mdaka Mishale Anasubiri....Asikwambie Mtu Simba tamu