F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Imagine Hii Raha Wanayoipata Mashabiki wa Mnyama ....Kimataifa bado Wapo mpaka Sasa ! Kwenye Ligi Mashabiki Wanapata Mapochopocho Na Masotojo Kama Haya...!
Utopolo Wanasikia kwa Watu tu raha Kama Hizi...!
 
Hawa biashara ni wakutufunga goli hizi afu kwa mkapa?

Daah yani bora mechi iishe tu kwa sare
 
Dah....Nani Man Of the Match.
1. Chama?
2.Setuba?
3.Nyoni?
4.Muzamiru?
5.Sakho?
Dah Simba tamuuu....Marioo anawasingizia Utopolo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…