ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
umerudi😁Hongera Sana Biashara United Kwa Kuonyesha Mpira Safi Naamini Hawa Wazee Watajitafakari.
Sasa Ni mwendo wa kila mtu kushinda mechi zake inshallah tutafika, no time to waste, kwa uweza wa alllah tutafikia lengo. Tushinde mechi zetu, tushinde mechi ijayo bila kuanfalia kilichotokea leo.Sema tena
Siku akilwaya msikete comment zenu za ki Bi Hindu hapa nawaonyaLeo Nyoni Ana Tu prove Wrong
Kwa Siku Za Karibuni penati imekuwa Majanga....!Itoshe tu kusema Simba upigaji penalty ni majanga
Alikuwa ameshatoka kwa majerahaPenati Kwanini wasimpe kapombe....
Yale magoli wangefunga yanga ungesikia kelele humu za kipa wa biashara kapewa bahasha, mara sijui mabeki wamepewa bahasha GSM wanatuharibia mpira wetu lakini wakishinda wao hawajadili udhaifu wa mpinzani wao imekuaje wanafungwa magoli kizembe.Hongereni kwa ushindi. Keshokutwa Jumapili tusisikie sasa zile kelele zenu! Maana mna nongwa sana nyinyi na ushindi wa Yanga. Yaani kama wanga vile.
Yale magoli wangefunga yanga ungesikia kelele humu za kipa wa biashara kapewa bahasha, mara sijui mabeki wamepewa bahasha GSM wanatuharibia mpira wetu lakini wakishinda wao hawajadili udhaifu wa mpinzani wao imekuaje wanafungwa magoli kizembe.
Hivi nyie mnaangalia mpira kweli? Kapombe hakuwepo wakati huo alishaumia na akatolewa na nafasi yake ikachukuliwa Isr
Sio lazma wote tuangalie, wengine tunafuatilia kwenye majukwaa kma hya...na Kikosi kilichoanza kinajulikana...Hivi nyie mnaangalia mpira kweli? Kapombe hakuwepo wakati huo alishaumia na akatolewa na nafasi yake ikachukuliwa Israel Patrick
App gani hii mkuu?Kumbe chama anajulikana sana "MWAMBA"View attachment 2138921
Hii App Bhn Eti "Tanzania Vodacom Premier League " [emoji1]Kumbe chama anajulikana sana "MWAMBA"View attachment 2138921
Kama unafutilia mbona kwenye Uzi dakika ya 30' tumeleta hiyo tukio la Kapombe kutolewa na Kuingia Patrick?Sio lazma wote tuangalie, wengine tunafuatilia kwenye majukwaa kma hya...na Kikosi kilichoanza kinajulikana...