F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Naliangalia tena hili battle AZAM TV saa hizi, Eeeeh kumbe Chama Alitesa Kijiji.

Yaani Namwonea Huruma Mwamnyeto siku Akikutana na 'Mwamba Wa Lusaka'
Triple C Clotus Chota Chama.
Huyu Chama ni mpya? Mechi nyingi za derby Chama anakuwa kakamatwa mpaka anatolewa nje.
 
Kama unafutilia mbona kwenye Uzi dakika ya 30' tumeleta hiyo tukio la Kapombe kutolewa na Kuingia Patrick?

Angalia kwenye ubao hapa..!
Da unapenda ligi, Hiv hTa ukiwa unaangalia Mpira kwenye skirini matukio yote Huwa unayaona Barabara. Mëngne s unasubir Kwa hisan ya Azam kwenye replay....
 
Da unapenda ligi, Hiv hTa ukiwa unaangalia Mpira kwenye skirini matukio yote Huwa unayaona Barabara. Mëngne s unasubir Kwa hisan ya Azam kwenye replay....
Hivi wewe uelewa wako ukoje? Umesema huangalii mpira ila unafutilia JF, ndo maana nikakuambia kuwa hapa tumeleta kwenye Uzi tukio la Kapombe 30' kutolewa nje.

Sasa unasema tunapenda ligi sijui makorokocho gani..! ilhali nimejibu kulingana na ulivyosema, halafu wapi nimesema matukio yote unayaona?kwani ukisema hilo tukio hujaliona ni dhambi?

Unataka nianze kukudharau sasa...Unaeleweshwa unataka kujifanya kujua.
 
Fanya utakacho kitakachokupa furaha moyon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…