FA Cup: Man U vs Everton

FA Cup: Man U vs Everton

Penalti ya Kwanza kwa Man U WAMEKOSA pia

Ya pili Everton WAMEPATA na pia

Ya pili Man U WAMEKOSA!
 
Neville kapata, Everton 2 MANU 0
 
MANU wametolewa ha ha ha ha ha ha 🙂
 
SAF anafungua BIG G nyingine 🙂 Ama kweli mdharau mwiba mguu huota tende!!! Sijui SAF alikuwa anafikiria nini kuwapanga chipukizi katika mechi muhimu kama hii.
 
heheh hiihihih ooohoohhoooooooo uhuhuhuhuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom