Hehe ...Namungo piga hao wala maandazi na mapela
Hali mbayaNamungo piga hao wala maandazi na mapela
Ndo mnagundua leo
Maajabu haya mkuu
Yani kama wanatumia camera ya tecno bhana,ila huu uwanja ni mzuri aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefungwa Namungo wanaumia MikiaYanga fc leo wanashuka dimbani katika uwanja wa majaliwa, lindi kikipiga na namungo fc katika mchezo wa kombe la FA,
_______________
Kipindi cha kwanza kimeisha kwa dakika 46 uwanjani hakuna aliyeonyesha ubabe kwa mwenzie,
_______________
HT NAMUNGO 0 vs YANGA 0
_______________
KIPINI CHA PILI
DAKIKA YA 83
NAMUNGO 0 vs YANGA 1
heritier makambo 83'
__ __ __ __ __ __
FT
NAMUNGO 0 vs YANGA 1
Shadeeya hazard cfc Joseverest Mzigua90 wanatinga robo fainali kwa ushindi mwembamba,
ALL IN ALL HONGERENI
Namungo000-1Yanga
Ngapi ngapi uko kwani
hahahaha Kombe la kuku ilo majirani meno yamewatoka mpaka magego tunayaonaYanga1-0simba (namungo)
Kila la heri Namungo
Hahahaha, watani wa jadiKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"