FA CUP: NAMUNGO FC vs YANGA FC

FA CUP: NAMUNGO FC vs YANGA FC

Yanga fc leo wanashuka dimbani katika uwanja wa majaliwa, lindi kikipiga na namungo fc katika mchezo wa kombe la FA,
_______________
Kipindi cha kwanza kimeisha kwa dakika 46 uwanjani hakuna aliyeonyesha ubabe kwa mwenzie,
_______________
HT NAMUNGO 0 vs YANGA 0
_______________
KIPINI CHA PILI
DAKIKA YA 83
NAMUNGO 0 vs YANGA 1
heritier makambo 83'
__ __ __ __ __ __
FT
NAMUNGO 0 vs YANGA 1
Shadeeya hazard cfc Joseverest Mzigua90 wanatinga robo fainali kwa ushindi mwembamba,
ALL IN ALL HONGERENI
Wamefungwa Namungo wanaumia Mikia
 
Back
Top Bottom