Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana strategy yoyote? Vipi wale waliosema hawatapokeq ruzuku kamwe na sasa wanapokea?Siku zote Zitto namuona mpuuzi tu, hana strategy yoyote, au kama anayo, basi ni ya kipuuzi vile vile, kusubiri kiongozi wa imani ipi aingie ikulu, ili nae aamue afuate mlengo upi, huyo ni mnafiki.
Huyo mnafiki leo anasema hataki kufanya politics of confrontations, za mikutano, maandamano, na nyinginezo kwa sababu anajua aliyepo ikulu ni "mama yake katika imani"
Hiyo ndio sababu iliyomfanya ameamua kuwa laini hata pale anapoona maslahi ya Tanganyika na watu wake yanawekwa rehani na mama yake, akisema nyingine yoyote tofauti na hiyo ni muongo, huyu kiumbe ni wa hovyo kabisa kuwepo kwenye siasa zetu, ni mnafiki, mlafi, anayependa kujipendekeza, wala asiye na msimamo wowote.
Matokeo yake sasa, leo anawaona wabaya, wanaofanya siasa mbaya, wale walioamua kuipigania Tanganyika na rasilimali zake, wale walioamua kutumia njia tofauti ilimradi kufanikisha malengo yao, hasa baada ya kumuona binti kiziwi pale ikulu ameamua kutuzibia masikio, hataki njia ya mazungumzo, ajabu kwa Zitto, huu ni ubaya!.
Mimi Zitto hawezi kunifundisha chochote, labda unafiki tu ikitokea siku nikiuhitaji!.
MNAFIKI SANASiku zote Zitto namuona mpuuzi tu, hana strategy yoyote, au kama anayo, basi ni ya kipuuzi vile vile, kusubiri kiongozi wa imani ipi aingie ikulu, ili nae aamue afuate mlengo upi, huyo ni mnafiki.
Huyo mnafiki leo anasema hataki kufanya politics of confrontations, za mikutano, maandamano, na nyinginezo kwa sababu anajua aliyepo ikulu ni "mama yake katika imani"
Hiyo ndio sababu iliyomfanya ameamua kuwa laini hata pale anapoona maslahi ya Tanganyika na watu wake yanawekwa rehani na mama yake, akisema nyingine yoyote tofauti na hiyo ni muongo, huyu kiumbe ni wa hovyo kabisa kuwepo kwenye siasa zetu, ni mnafiki, mlafi, anayependa kujipendekeza, wala asiye na msimamo wowote.
Matokeo yake sasa, leo anawaona wabaya, wanaofanya siasa mbaya, wale walioamua kuipigania Tanganyika na rasilimali zake, wale walioamua kutumia njia tofauti ilimradi kufanikisha malengo yao, hasa baada ya kumuona binti kiziwi pale ikulu ameamua kutuzibia masikio, hataki njia ya mazungumzo, ajabu kwa Zitto, huu ni ubaya!.
Mimi Zitto hawezi kunifundisha chochote, labda unafiki tu ikitokea siku nikiuhitaji!.
Huyo hana ushawishi anajifariji tuuWanabodi,
Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa.
Mimi najihesabu ni muelimishaji umma kupitia kipindi changu cha TV, "Kwa Maslahi ya Taifa" na makala zangu za magazeti na humu JF.
Nimeamua kuanzisha darasa la watu kujifunza kwa wengine, hivyo nitakuwa nakuletea makala hizi za Face 2 Face zikihusisha mahojiano na watu mbalimbali kuhusu mada mbalimbali kwa kuwatumia watu hao kufundisha wengine.
Mwalimu wetu kwenye darasa la leo, ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
Kwanza msikilize na uniambie umeelewa nini ili hicho ulichoelewa wewe uwafundishe na wengine.
Kwa vile sisi binadamu ni tofauti na tuna uwezo wa uelewa tofauti tofauti, mimi nimejitolea nitakuwa nawafanyia a short summary recaps ili wengi zaidi wafaidike na darasa hili.
Zitto ametufundisha kitu kipya kwenye siasa zetu, badala ya zile politics of confrontations za mikutano, maandamano, mivutano, kupigishana kelele and sometimes kutukanana kwa issues za kisiasa kusababishwa kuvuja kwa machozi jasho na damu, ACT Wazalendo inafanya siasa za politics of engagement.
Itaendelea...
P
Waliompa mamvi tiketi ya urais baada kumbagaza kwa miaka nao Wana ndege wenzao!?Kufahamu historia ya mwanasiasa inakupa picha halisi kuhusu tabia yake. Zito, Lipumba na Mbatia ni ndege wafananao!
Engagement ipi wakati katiba mpya imeshapotezewa? Hivi unaweza unga mkono elimu ya katiba ya zamani itolewe miaka 3 Tena kwa billion 200? Why wasitoe elimu ya rasimu itakayopendekezwa?
ACT sio kama wako engaging ila hawana choice pona Yao ni maridhiano na CCM otherwise hawawezi pambana na CCM head-on kulinganisha na CHADEMA ambayo haihitaji endorsement ya CCM ili kushinda chaguzi yoyote au kuongeza ushawishi kwa wananchi.
Amesema miaka yote alikuwa HAPATI KITU sasa ameamua aingie jikoni😂😂😂
Bora ungemuhoji Ismail Jussa
Tanganyika hana mbunge hata wa kulumangia atatupa jipya gani zaidi ya Siasa kujinyenyekeza kwa mawaziri Wawili 😂😂🐼
Hizi ndo "politics of engagement za Zitto na chama Cha ACT"View attachment 2747534
Hana strategy yoyote? Vipi wale waliosema hawatapokeq ruzuku kamwe na sasa wanapokea?
Vipi wale waliosema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi kuwe na katiba mpya lakini sasa wanasema watashiriki uchaguzi wa 2924 na 2025, ni yupi asiye na strayer kati ya hao?
Waliompa mamvi tiketi ya urais baada kumbagaza kwa miaka nao Wana ndege wenzao!?
They're done broThat was a fatal mistake.
Itawachukua miaka kurudi katika ubora wao wa miezi michache kabla ya uchaguzi wa 2015.
Hawakua hata na ubora kipindi hicho unachosema, ndio maana wakaenda kumchukua mgombea aliyekuwa mzee na mgonjwa na ambaye hawezi kuzungumza, achilia mbali hilo la kuwa na makashfa kibao waliyokuwa wakimsemaThat was a fatal mistake.
Itawachukua miaka kurudi katika ubora wao wa miezi michache kabla ya uchaguzi wa 2015.
Kwa hiyo kama hata Mbowe ni fake, ambao wana afadhali ni nani?Mkuu, hizo comments za wadau wachache zinatosha kukupa picha jamii inamtizama vipi ZZK.
Safari yake ya kisiasa anaenda kuishia kama akina Lipumba, Dovutwa n.k. Akiweza kuchomoka hapo na kuwashawishi watanzania kuwa yeye ni zaidi ya wamwonavyo itakuwa ni muujiza.
Same story kwa Mbowe, japo yeye ana nafuu kidogo.
Hawakua hata na ubora kipindi hicho unachosema, ndio maana wakaenda kumchukua mgombea aliyekuwa mzee na mgonjwa na ambaye hawezi kuzungumza, achilia mbali hilo la kuwa na makashfa kibao waliyokuwa wakimsema
Walimchukua kwa sababu chama chao kilikuwa dhaifu na wakaona huyo mzee atawapa boost kubwa pamoja na mapungufu yake