Face 2 Face with Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo: "Tunafanya Politics of Engagement kwa kuwa Pragmatic on What is Possible"

Hana strategy yoyote? Vipi wale waliosema hawatapokeq ruzuku kamwe na sasa wanapokea?

Vipi wale waliosema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi kuwe na katiba mpya lakini sasa wanasema watashiriki uchaguzi wa 2024 na 2025, ni yupi asiye na strayer kati ya hao?
 
MNAFIKI SANA

ova
 
Huyo hana ushawishi anajifariji tuu
 


Hapo kwenye Maridhiano isomeke Huruma, inaleta maana zaidi.
 
😂😂😂

Bora ungemuhoji Ismail Jussa

Tanganyika hana mbunge hata wa kulumangia atatupa jipya gani zaidi ya Siasa kujinyenyekeza kwa mawaziri Wawili 😂😂🐼
Amesema miaka yote alikuwa HAPATI KITU sasa ameamua aingie jikoni
 


Wote ni wale wale.


Zitto kaamua kulamba Asali kwa kuwa mpole na mnyenyekevu mbele ya warina asali.

Hao wengine wamezoea kula kwa makelele.
 
Mkuu, hizo comments za wadau wachache zinatosha kukupa picha jamii inamtizama vipi ZZK.

Safari yake ya kisiasa anaenda kuishia kama akina Lipumba, Dovutwa n.k. Akiweza kuchomoka hapo na kuwashawishi watanzania kuwa yeye ni zaidi ya wamwonavyo itakuwa ni muujiza.

Same story kwa Mbowe, japo yeye ana nafuu kidogo.
 
Mambo mawili kwa zito.
1. Akirushiwa dinari humsikii. Evidence .dinari alizijitwalia wakati wa kamati za mashirika.

2. Udini. Inategemea jamaa akiona aliye juu ni mwenzake makerere mwisho .ngoja aone mgaratia hapo juu utaona anavyokimbia huko na huko ikimradi kiti kisikalike.
 
That was a fatal mistake.


Itawachukua miaka kurudi katika ubora wao wa miezi michache kabla ya uchaguzi wa 2015.
Hawakua hata na ubora kipindi hicho unachosema, ndio maana wakaenda kumchukua mgombea aliyekuwa mzee na mgonjwa na ambaye hawezi kuzungumza, achilia mbali hilo la kuwa na makashfa kibao waliyokuwa wakimsema
Walimchukua kwa sababu chama chao kilikuwa dhaifu na wakaona huyo mzee atawapa boost kubwa pamoja na mapungufu yake
 
Kwa hiyo kama hata Mbowe ni fake, ambao wana afadhali ni nani?
 
Miswada yoye hiyo ni kwa faida ya mwanasiasa, mwananchi miswada yake ni ya kuongezewa tozo ambazo hazijulikani zinatumika vipi. Safi sana
 


Ubora ulikuwepo katika msimamo waliokua nao kuanzia 2005 bila kuyumba kuhusu kupambana na rushwa na ufisadi nchini na kwa kiasi walifanikiwa kuleta mabadiliko mengi tu katika ulingo wa siasa za Tanzania.

Kumbukumbu;
Kampeni ya Kujivua Gamba ya CCM

Angalau uwajibikaji kwa kiasi fulani ulionekana kutendeka.

Wananchi waliwaamini na kuwaelewa.


Hii yote wakaja ibomoa na move moja tu, ku-change gear Angani.




Boost waliyoitarajia waliipata ndio lakini at a cost of their credibility & integrity.

Kilichokuja kuharibu zaidi ni Mzee Lowassa kuwaagiza wafuasi wao wakati wa kampeni pale Jangwani kwamba wakasome Sera na mipango mtandaoni!? Sasa kazi ya campaign ni nini?

Walichezea shilingi chooni.



Bado huwa nawaza, nguvu aliyoitumia Mzee Lowassa kuusaka Urais angewekeza katika kutuandalia Rais kwa jinsi ya maono yake pengine tungefaidika zaidi.

Ushawishi aliokua nao na mapenzi + Imani waliyokua nayo watanzania kwake, bado alikua na nafasi ya kulisaidia taifa pakubwa sana hata bila yeye kuwa Rais kwa kutengeneza na kuandaa kijana kwa ajili hiyo.

Ubinafsi wa viongozi wa Afrika, they fail to prepare their predecessors simply because they are selfish and not because they can’t.


Huyu mwingine anatuandalia Mwanae kwa njia za vichochoroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…