Ruzuku ilikuwa haki yao, kuipokea haliwezi kuwa kosa, vipi huyo anayeona bandari zetu Tanganyika zinatolewa kwa waarabu milele anaamua kunyamaza kimya? Au ni mrundi?!Hana strategy yoyote? Vipi wale waliosema hawatapokeq ruzuku kamwe na sasa wanapokea?
Vipi wale waliosema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi kuwe na katiba mpya lakini sasa wanasema watashiriki uchaguzi wa 2024 na 2025, ni yupi asiye na strayer kati ya hao?
Hayo mnayofanya Chadema sasa Cuf/Act walishayanya kwa miaka mingi kule Zanzibar na hawakupata chochote, hata nyinyi cdm hamtapata chochote Ccm ni ile ile. Mtamtakuja gundua hilo baadae sana, hata nyinyi hamuwezi pambana na ccm mnajitekenya tu na kucheka wenyewe. Zitto ni mwalimu kwenu amewatangulia sana uelewa kwenye siasa.ACT sio kama wako engaging ila hawana choice pona Yao ni maridhiano na CCM otherwise hawawezi pambana na CCM head-on kulinganisha na CHADEMA ambayo haihitaji endorsement ya CCM ili kushinda chaguzi yoyote au kuongeza ushawishi kwa wananchi.
Paskali, nimekupata vzr - hope hata wabwekaji watakuelewa ingawa ni wagumu Kama jiwe la ziwa VictoriaWanabodi,
Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa.
Mimi najihesabu ni muelimishaji umma kupitia kipindi changu cha TV, "Kwa Maslahi ya Taifa" na makala zangu za magazeti na humu JF.
Nimeamua kuanzisha darasa la watu kujifunza kwa wengine, hivyo nitakuwa nakuletea makala hizi za Face 2 Face zikihusisha mahojiano na watu mbalimbali kuhusu mada mbalimbali kwa kuwatumia watu hao kufundisha wengine.
Mwalimu wetu kwenye darasa la leo, ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
Kwanza msikilize na uniambie umeelewa nini ili hicho ulichoelewa wewe uwafundishe na wengine.
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=KLISZZ3sCb243xzz
Kwa vile sisi binadamu ni tofauti na tuna uwezo wa uelewa tofauti tofauti, mimi nimejitolea nitakuwa nawafanyia a short summary recaps ili wengi zaidi wafaidike na darasa hili.
Zitto ametufundisha kitu kipya kwenye siasa zetu, badala ya zile politics of confrontations za mikutano, maandamano, mivutano, kupigishana kelele and sometimes kutukanana kwa issues za kisiasa kusababishwa kuvuja kwa machozi jasho na damu, ACT Wazalendo inafanya siasa za politics of engagement.
Zitto Kabwe amesema
" Kwa miaka zaidi ya 30 ya siasa zetu za vyama vingi siasa zetu zimekuwa ni siasa za confrontations, kuandamana, kununa, kususa na hatupati chochote!.
Ukifanya jambo lili lile kwa namna ile ile ukitegemea matokeo tofauti, hapa utakuwa unajidanganya"
"Tumeamua kufanya siasa za engagement ili kuwezesha mageuzi kufanyika. Hiki kinachofanyika hapa ni matokeo ya kazi yetu, tumefanya mkutano Dodoma, tumeshiriki kwenye kikosi kazi, tumetoa mapendekezo, leo tunajadili utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi, hili ni jambo kubwa.
Huu sio mkutano wa kupindisha pindisha mambo, ni mkutano wa kunyoosha mambo kuleta matokeo chanya tunayoyataka.
Ofisi ya Waziri Mkuu imeishatangaza kuna miswada mitatu inapelekwa Bungeni kwenye Bunge la October kujadiliwa
Sisi tumeomba iongezwe miswada mingine miwili
- Muswada wa mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi
- Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi
- Muswada wa mabadiliko ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
4. Muswada wa kuhuishwa tume ya Warioba na kukwamua mchakato wa katiba mpya uliokwama
5. Muswada wa mabadiliko madogo ya katiba ili mabadiliko hayo yapate nguvu ya katiba.
Sisi tunafanya siasa za Pragmatism on doing and getting what is possible"
My Take
Hizi ndio siasa za ukweli, kinyume cha utopian politics".
Paskali
Chochote kipi? Kuna chama kimeenea kama CHADEMA? CUF is not our comparison maana haikuwahi fikia hata robo ya mafanikio ya CHADEMA sio kwa kura, uwakilishi au ushawishi kwa jamii.hata nyinyi cdm hamtapata chochote Ccm ni ile ile
Wanabodi,

Uko sahihi. Ni kwa vile tu ACT hawana uwezo na nguvu ya ushawishi Tanzania baraEngagement ipi wakati katiba mpya imeshapotezewa? Hivi unaweza unga mkono elimu ya katiba ya zamani itolewe miaka 3 Tena kwa billion 200? Why wasitoe elimu ya rasimu itakayopendekezwa?
ACT sio kama wako engaging ila hawana choice pona Yao ni maridhiano na CCM otherwise hawawezi pambana na CCM head-on kulinganisha na CHADEMA ambayo haihitaji endorsement ya CCM ili kushinda chaguzi yoyote au kuongeza ushawishi kwa wananchi.
Mayala,iko hivWanabodi,
Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa.
Mimi najihesabu ni muelimishaji umma kupitia kipindi changu cha TV, "Kwa Maslahi ya Taifa" na makala zangu za magazeti na humu JF.
Nimeamua kuanzisha darasa la watu kujifunza kwa wengine, hivyo nitakuwa nakuletea makala hizi za Face 2 Face zikihusisha mahojiano na watu mbalimbali kuhusu mada mbalimbali kwa kuwatumia watu hao kufundisha wengine.
Mwalimu wetu kwenye darasa la leo, ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe
Kwanza msikilize na uniambie umeelewa nini ili hicho ulichoelewa wewe uwafundishe na wengine.
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=KLISZZ3sCb243xzz
Kwa vile sisi binadamu ni tofauti na tuna uwezo wa uelewa tofauti tofauti, mimi nimejitolea nitakuwa nawafanyia a short summary recaps ili wengi zaidi wafaidike na darasa hili.
Zitto ametufundisha kitu kipya kwenye siasa zetu, badala ya zile politics of confrontations za mikutano, maandamano, mivutano, kupigishana kelele and sometimes kutukanana kwa issues za kisiasa kusababishwa kuvuja kwa machozi jasho na damu, ACT Wazalendo inafanya siasa za politics of engagement.
Zitto Kabwe amesema
" Kwa miaka zaidi ya 30 ya siasa zetu za vyama vingi siasa zetu zimekuwa ni siasa za confrontations, kuandamana, kununa, kususa na hatupati chochote!.
Ukifanya jambo lili lile kwa namna ile ile ukitegemea matokeo tofauti, hapa utakuwa unajidanganya"
"Tumeamua kufanya siasa za engagement ili kuwezesha mageuzi kufanyika. Hiki kinachofanyika hapa ni matokeo ya kazi yetu, tumefanya mkutano Dodoma, tumeshiriki kwenye kikosi kazi, tumetoa mapendekezo, leo tunajadili utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi, hili ni jambo kubwa.
Huu sio mkutano wa kupindisha pindisha mambo, ni mkutano wa kunyoosha mambo kuleta matokeo chanya tunayoyataka.
Ofisi ya Waziri Mkuu imeishatangaza kuna miswada mitatu inapelekwa Bungeni kwenye Bunge la October kujadiliwa
Sisi tumeomba iongezwe miswada mingine miwili
- Muswada wa mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi
- Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi
- Muswada wa mabadiliko ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
4. Muswada wa kuhuishwa tume ya Warioba na kukwamua mchakato wa katiba mpya uliokwama
5. Muswada wa mabadiliko madogo ya katiba ili mabadiliko hayo yapate nguvu ya katiba.
Sisi tunafanya siasa za Pragmatism on doing and getting what is possible"
My Take
Hizi ndio siasa za ukweli, kinyume cha utopian politics".
Paskali
Mayala, haya masuala ya migongano(confrontations),mikutano,maandamano pamoja na majadiliano(engagements) ni sehemu ya mambo katika siasa...,na yote yanatumika kulingana na mazingira na wakati.Wanabodi,

Mwalimu? Be serious.... 2020 si alikua kwenye MoU na JPM aliambulia Nini kuzidi CHADEMA? Alisimamisha mgombea Urais vipi alizidiwa kura Hadi na Tundu Lissu huko huko Zanzibar ambayo ni ngome ya Maalim?Mtamtakuja gundua hilo baadae sana, hata nyinyi hamuwezi pambana na ccm mnajitekenya tu na kucheka wenyewe. @Zitto ni mwalimu kwenu amewatangulia sana uelewa kwenye siasa.
Zanzibar unaijua Mzee au unazungumza tu unadhani Zanzbar tofauti kazileta Seif, Maalim kapokea tu kijiti soma historia tofauti ya Zanzibar ni zaidi ya Maalim Pemba hata kama kiongozi atakuwa nani misimamo yao haibadiliki kwa miaka michache hivyo hivyo Unguja tofauti zao ni za zaidi ya kisiasa.Mwalimu? Be serious.... 2020 si alikua kwenye MoU na JPM aliambulia Nini kuzidi CHADEMA? Alisimamisha mgombea Urais vipi alizidiwa kura Hadi na Tundu Lissu huko huko Zanzibar ambayo ni ngome ya Maalim?
Baada ya 2020 vyama vimebaki viwili tu CCM na CHADEMA na Kwa Hilo nampongeza JPM alihakikisha wapinzani uchwara wote Wana quit siasa Sasa wamebaki serious politicians only and unfortunately ACT sio mojawapo na 2025 ndio itakua kaburi lao la milele maana Zanzibar hawana mtu wa calibre ya Maalim na huku bara ni non-existent na kama uchaguzi utakua huru na haki basi CHADEMA itazoa kura za kihistoria thus rendering ACT obsolete and casting them to the darkest pits of political oblivion.
Kwa hiyo kwa nini walisusia kama ni haki yao? Na kwa nini wasema mwanasiasa fulani ni fisadi hafai kuongoza kisha waje kumfanya mgombea wao?Ruzuku ilikuwa haki yao, kuipokea haliwezi kuwa kosa, vipi huyo anayeona bandari zetu Tanganyika zinatolewa kwa waarabu milele anaamua kunyamaza kimya? Au ni mrundi?!
Wangekuwa bora wangekuwa wanajiamini na kuweka mgombea wao wenyewe, unawa overrate sana CDM wa kipindi hichoUbora ulikuwepo katika msimamo waliokua nao kuanzia 2005 bila kuyumba kuhusu kupambana na rushwa na ufisadi nchini na kwa kiasi walifanikiwa kuleta mabadiliko mengi tu katika ulingo wa siasa za Tanzania.
Kumbukumbu;
Kampeni ya Kujivua Gamba ya CCM
Angalau uwajibikaji kwa kiasi fulani ulionekana kutendeka.
Wananchi waliwaamini na kuwaelewa.
Hii yote wakaja ibomoa na move moja tu, ku-change gear Angani.
Boost waliyoitarajia waliipata ndio lakini at a cost of their credibility & integrity.
Kilichokuja kuharibu zaidi ni Mzee Lowassa kuwaagiza wafuasi wao wakati wa kampeni pale Jangwani kwamba wakasome Sera na mipango mtandaoni!? Sasa kazi ya campaign ni nini?
Walichezea shilingi chooni.
Bado huwa nawaza, nguvu aliyoitumia Mzee Lowassa kuusaka Urais angewekeza katika kutuandalia Rais kwa jinsi ya maono yake pengine tungefaidika zaidi.
Ushawishi aliokua nao na mapenzi + Imani waliyokua nayo watanzania kwake, bado alikua na nafasi ya kulisaidia taifa pakubwa sana hata bila yeye kuwa Rais kwa kutengeneza na kuandaa kijana kwa ajili hiyo.
Ubinafsi wa viongozi wa Afrika, they fail to prepare their predecessors simply because they are selfish and not because they can’t.
Huyu mwingine anatuandalia Mwanae kwa njia za vichochoroni.
Wangekuwa bora wangekuwa wanajiamini na kuweka mgombea wao wenyewe, unawa overrate sana CDM wa kipindi hicho