Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
-
- #21
Ina maana mpwa ulikula tunda kabla ya ndoa au sijaelewa, ulivokuta sio mtamu ukamkimbia...
Mi naona huyo mke kinachomsumbua zaidi ni WIVU, tena naona unakuwa GUBU sasa ambayo sio nzuri kabisa
Mkuu mweleze kuwa anavyo behave hata wewe inakukwaza sasa, ajiamini kwamba upo naye tu huna mwengine!
Kama ni sifa sidhani kama ipo ambayo mwanaume anastahili kuitoa kwa mke au mwenza wake sijaitoa, kama ni surprise ameshasema kwa nini sikukutana nae kabla ya wengine, kama ni mapenzi kwa ujumla simaanisha kitandani ambapo ni private sana amenipa five, kama ni ku care i do all to make her happy, she sometimes jealous why did i met one before?, jamani sijipaishi bali nasema toka moyoni na jinsi anavyoniambia, am so gentleman to her than anyone did to her before all i do to her is new....amedhubutu kuniauliza kama nimeshawahi kutupa mkono kwa mwanamke yeyote au kama nimeshawahi kukasirika, always am so nice, soo good to her...
Maana kama ni frown face yangu hajawahi kuiona, neno la ukali kwangu halijawahi kutoka mdomoni mbele yake though wafanyakazi wa kampuni yetu wanamwambia mie mkali lkn haamini...I respect her more than anything in this world and she knows this....
toa copy ,umuonyeshe haya uliyoyaandika humu.ila delete maneno machache,kama huyo mwanamke anaijua shughuli.maybe ataamini kama unampenda.
Ni wivu wa kawaida tu.....anatamani ungekutana nae kabla ya watu wengine ili yeye tu ndo awe amefaidi mazuri yako!!Endelea kua mzuri soon yatapita!
Kashaniambia hayo yote kuwa where have i been to meet her before I met other woman....was her first question before even we share
bodies maana I was so nice to her mpaka akaniuliza kama kweli sina mtu....
Well then..keep it up!!!She will get over it soon enuff!
Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.
Mkuu, wife wako aliyasoma mawazo yako pale mlipo kutana. kwani inaonyesha bado unakumbuka mambo ya huyo x.(alikutoa....,anayaweza).
Ulipo mpata huyo uliye naye sasa (wife wako), ulianza ukurasa mpya na uli funga wa zamani. Kataa kabisa ku-reverse memory za huyo x-wako, zungumza na mwenzako kwa upole kabisa. Kumbushaneni ahadi ama kiapo cha ndoa yenu na mambo yatakuwa tununu kabisa.[/QUOT
Mkuu ukurasa ulishafungwa kitambo kabla hata ya kumpatata mke wangu, ilikuwa kama shock maana sikutegemea kumuona ex mzee so nilibaki kuduwaa nini macho yangu kimeona, nilikaa kimya kidogo kudhani ni yeye au ni mdogo wake maana ana mdogo wake copy rite kabisa...Mke wangu nampenda kuliko mkuu na analijua hilo....
Makosa ulifanya ya kumuonyesha ex wako, hebu fikiria kama yeye akuonyeshe jamaa lilombikiri then siku wa siku wa siku mkutane nalo lisimame kumsalimia? je utapumua sawasawa?
Kingine kumpenda na kumfanyia yote hilo si suluhu katika mapenzi, mengine ni jinsi unavyo handle shughuli ulizoita ni private, unaweza kuwa unamchafua tu mpaka analia ni makosa gani nilifanya kukutana na huyu? haya ni mawazo tu maana hatujuia sababu inayomliza hivyo lazima tuangalie pande zote.
mkuu, mkeo ni mwafrika ingawa sijui sasa unaposema sisi waafrika ndo tunaamini hivyo? sasa matatizo uliyonayo si na mwanamke mwafrika? nimekuuliza swali hivi angekutambulisha kwa jamaa lilombikiri na ukutane nalo linatabasamu kumuona mkeo wewe ungejisikiaje? hili swali umelala mbele nini tena na wewe mwenzetu naona niunaishi kizungu nafikiri unaweza hayta kumkaribisha aje mnywe naye chai au ka glasi ka ugimbi ha ha ha
wazee a kudesa kudadadadadadekiNitaonekana sio mwanaume kutoa copy ya ushauri wangu kuomba kwenu, mwanaume hasa hata mke wake anajua anayoyasema yeye ndo kajenga hoja sio wanaume wengine, usije muonyeshe mke wako ushauri unaopewa na rafiki yako mambo yenu ya ndani, kama ni hivyo basi tungekuwa tunawachukua marafiki zetu kuja kutoa ushauri moja kwa kwa moja na sio kuomba ushauri then uende mwambie mkeo, USHAURI hutolewa na mshauriwa huedit what needed na kudelete what unwanted lkn sio kuonyesha copy...mkeo atakuona wewe mwanaume suruali maana hata ushauri unatoa copy?She is too far to that mzee....
acha uzushi wewe, si unasema unatafuta mzungu akuzalishe, au ndio mmekubaliana na mume wakoPole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.
kakangu wanawake tunapenda kupendwa na kuambiwa mambo mazuri all the time and most important ni kuwa assured that hatuibiwi nje,so as u said ur a good husband please ongeza MALOVE AND ATTENTION thats it.mi nahisi kuna body language uliionyesha wakati unaongea na huyo kicheche wako wa zamani lakini,kwakua umetuhakikishia uko poa,just concentrate with faithfulness to ur wife and msiliongelee kitu chochote kuhusu huyo ex wako na hata akianzisha mwambie hutaki kuongelea,wivu ni ugonjwa ndugu yangu hayo yote nia mapenzi tu yamemjaa mkeo.usiache kumpenda mkeo!,ghafla nimetamani wewe unaymfanyia mkeo ndo yangekua yanafanywa na blackberry wangu.lucky herLeo katika piata pita zangu nikiwa na mamaaa(mama kubwa) nikagongana na Ex wangu, nikasalimiana nae vizuri tu huku akitabasamu mpaka mamaa akashtuka na kutaka kuondoka akizani ni Nyumba ndogo, nikamtambulisha kuwa yule nilyenaye ni mke wangu na tuna mtoto mmoja, kasheshe ilianza mara baada ya kurudi nyumbani maana nilishagamwambia tangu niachane na ex wangu sijapata kumwona tena na sijui aliko, sasa mke wangu hajiamini kwa sasa akidhani mie nitaanza contact na yule ex wangu ingawa nimemwambia hilo kwangu halipo na wala asiwaze, jamani bibie hajiamini kwa sasa kila kitu anataja jina la ex wangu, kanitega swali moja, je alikuwa anakufanyia nini x wako wakati wa mechi? jamani niko stranded hapa msaada, na mjue huyo ex yuko fiti kila kona ila tabia yake kwangu haikunifurahisha so tukaachana kwa amani tuuu na sio ugomvi, bibie kauliza mliachana vipi? nani alimwacha mwenzake?haamini kweli tuliachana kwa amani, jamani kwa nini wanawake hawajiamini? nampenda mke wangu na hata number ya yule ex sina ila aliniambia anapofanya kazi kama na muda nimtembeleee....
Msaada jamani, preta, first lady na wengineo, wazee wa jukwaa la mapenzi mpoooooooooo....ndoa yangu jamani ni ya gharama sana maana ni mungu tu ndo anaweza tutenganisha kama kiapo chetu...