Face to face na X wangu

Face to face na X wangu

Ina maana mpwa ulikula tunda kabla ya ndoa au sijaelewa, ulivokuta sio mtamu ukamkimbia...

Mjomba ujue huyo Ex kweli nilimega before ndoa lkn nilitamanigi sana awe my wi na ndiye aliyenitoa UKETE hapo sifichi, she was my first girl na nilipenda kuliko si unajua mkuu kipya mjomba halafu nilikuwa new we acha mautamu mpaka basi...Mke wangu kanikuta USED tayari sasa hakutaka hilo, Kumuona Ex wangu presure ikapanda hadi excess-3, kuishusha labda mjomba uje maana MPWAYO anashindwa kidogo mauzoefu kidogo hana....
 
Mi naona huyo mke kinachomsumbua zaidi ni WIVU, tena naona unakuwa GUBU sasa ambayo sio nzuri kabisa

Mkuu mweleze kuwa anavyo behave hata wewe inakukwaza sasa, ajiamini kwamba upo naye tu huna mwengine!

Mkuu bila wivu mapenzi hamna, nimemwambia yote hayo na kanielewa lkn si unajua tena? maana na jicho alilokuwa ananiangalizia huyo EX lilimtisha sana my wi maana ni la kichokozi tena waziwazi, WIVU anao najua hilo ila leo ndo nimeuona kuwa si mchezo au kama ulivyouita wewe GUBU....
 
toa copy ,umuonyeshe haya uliyoyaandika humu.ila delete maneno machache,kama huyo mwanamke anaijua shughuli.maybe ataamini kama unampenda.
 
Kama ni sifa sidhani kama ipo ambayo mwanaume anastahili kuitoa kwa mke au mwenza wake sijaitoa, kama ni surprise ameshasema kwa nini sikukutana nae kabla ya wengine, kama ni mapenzi kwa ujumla simaanisha kitandani ambapo ni private sana amenipa five, kama ni ku care i do all to make her happy, she sometimes jealous why did i met one before?, jamani sijipaishi bali nasema toka moyoni na jinsi anavyoniambia, am so gentleman to her than anyone did to her before all i do to her is new....amedhubutu kuniauliza kama nimeshawahi kutupa mkono kwa mwanamke yeyote au kama nimeshawahi kukasirika, always am so nice, soo good to her...

Maana kama ni frown face yangu hajawahi kuiona, neno la ukali kwangu halijawahi kutoka mdomoni mbele yake though wafanyakazi wa kampuni yetu wanamwambia mie mkali lkn haamini...I respect her more than anything in this world and she knows this....

Ni wivu wa kawaida tu.....anatamani ungekutana nae kabla ya watu wengine ili yeye tu ndo awe amefaidi mazuri yako!!Endelea kua mzuri soon yatapita!
 
toa copy ,umuonyeshe haya uliyoyaandika humu.ila delete maneno machache,kama huyo mwanamke anaijua shughuli.maybe ataamini kama unampenda.

Nitaonekana sio mwanaume kutoa copy ya ushauri wangu kuomba kwenu, mwanaume hasa hata mke wake anajua anayoyasema yeye ndo kajenga hoja sio wanaume wengine, usije muonyeshe mke wako ushauri unaopewa na rafiki yako mambo yenu ya ndani, kama ni hivyo basi tungekuwa tunawachukua marafiki zetu kuja kutoa ushauri moja kwa kwa moja na sio kuomba ushauri then uende mwambie mkeo, USHAURI hutolewa na mshauriwa huedit what needed na kudelete what unwanted lkn sio kuonyesha copy...mkeo atakuona wewe mwanaume suruali maana hata ushauri unatoa copy?She is too far to that mzee....
 
Ni wivu wa kawaida tu.....anatamani ungekutana nae kabla ya watu wengine ili yeye tu ndo awe amefaidi mazuri yako!!Endelea kua mzuri soon yatapita!

Kashaniambia hayo yote kuwa where have i been to meet her before I met other woman....was her first question before even we share
bodies maana I was so nice to her mpaka akaniuliza kama kweli sina mtu....
 
Well then..keep it up!!!She will get over it soon enuff!
 
Mkuu, wife wako aliyasoma mawazo yako pale mlipo kutana. kwani inaonyesha bado unakumbuka mambo ya huyo x.(alikutoa....,anayaweza).

Ulipo mpata huyo uliye naye sasa (wife wako), ulianza ukurasa mpya na uli funga wa zamani. Kataa kabisa ku-reverse memory za huyo x-wako, zungumza na mwenzako kwa upole kabisa. Kumbushaneni ahadi ama kiapo cha ndoa yenu na mambo yatakuwa tununu kabisa.
 
Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.
 
Asante ndugui yangu lkn kama ni outing always my wi nipo nae hata kama nakutana na friends zangu maana wote wako na wake na tunajuana kwa sana tu so wake zao pia ni rafiki za mke wangu, kila nikienda nje kama ni nje ya nchi huwa naenda nae na kama ni nchini huwa silali huko ni after meeting nageuza home na huwa anajua when nitamaliza meetings, hilo la alichokuwa ananifanyia ex jamani ndo linaleta haya ma wivu yote, sijawahi mdanganya mke wangu wala kucheat out, nimekuwa mkweli na baba mzuri tu wa mtoto wetu, wanga wa mapenzi wamejaribu lkn hamna kitu na huyu ex wala sina habari nae maana niliye naye she fits every what i wanted for a wife to have and be....
 
Makosa ulifanya ya kumuonyesha ex wako, hebu fikiria kama yeye akuonyeshe jamaa lilombikiri then siku wa siku wa siku mkutane nalo lisimame kumsalimia? je utapumua sawasawa?

Kingine kumpenda na kumfanyia yote hilo si suluhu katika mapenzi, mengine ni jinsi unavyo handle shughuli ulizoita ni private, unaweza kuwa unamchafua tu mpaka analia ni makosa gani nilifanya kukutana na huyu? haya ni mawazo tu maana hatujuia sababu inayomliza hivyo lazima tuangalie pande zote.
 
Mkuu, wife wako aliyasoma mawazo yako pale mlipo kutana. kwani inaonyesha bado unakumbuka mambo ya huyo x.(alikutoa....,anayaweza).

Ulipo mpata huyo uliye naye sasa (wife wako), ulianza ukurasa mpya na uli funga wa zamani. Kataa kabisa ku-reverse memory za huyo x-wako, zungumza na mwenzako kwa upole kabisa. Kumbushaneni ahadi ama kiapo cha ndoa yenu na mambo yatakuwa tununu kabisa.[/QUOT

Mkuu ukurasa ulishafungwa kitambo kabla hata ya kumpatata mke wangu, ilikuwa kama shock maana sikutegemea kumuona ex mzee so nilibaki kuduwaa nini macho yangu kimeona, nilikaa kimya kidogo kudhani ni yeye au ni mdogo wake maana ana mdogo wake copy rite kabisa...Mke wangu nampenda kuliko mkuu na analijua hilo....
 
Makosa ulifanya ya kumuonyesha ex wako, hebu fikiria kama yeye akuonyeshe jamaa lilombikiri then siku wa siku wa siku mkutane nalo lisimame kumsalimia? je utapumua sawasawa?

Kingine kumpenda na kumfanyia yote hilo si suluhu katika mapenzi, mengine ni jinsi unavyo handle shughuli ulizoita ni private, unaweza kuwa unamchafua tu mpaka analia ni makosa gani nilifanya kukutana na huyu? haya ni mawazo tu maana hatujuia sababu inayomliza hivyo lazima tuangalie pande zote.

Mkuu kipimo cha mapenzi sio kitandani hata siku moja ila inaweza kuwa katika 1000 ni 10 tu, so kama 0.001% ambayo ni ndogo sana ila sisi waafrica ndo tunadhani ni kitandani ndo kumpenda au kupendwa na mke wako....shughuri unayoiona wewe ndo muhimu katika mapenzi ya mke na mme sitokuprovia maana wewe sio mwanamke na wala sitoandika hapa how I make love with my wife, She is only one knows how I handle the case, I call it case as you dicided to make it so special, wewe unajua jinsi gani unamuda shughuli lkn hata siku moja rafiki yako hajui na hata ukiandika hapa ni sawa na kuuza mbuzi guniani......So toa ushauri sio kutaka prove ya kitu ambacho hakiwezekani kuproviwa hata PORN stars usidhani wanayoonyesha ndo wanajua sana mambo lah is sometimes science fiction baada ya kuwa edited...watch out mkuu
 
mkuu, mkeo ni mwafrika ingawa sijui sasa unaposema sisi waafrika ndo tunaamini hivyo? sasa matatizo uliyonayo si na mwanamke mwafrika? nimekuuliza swali hivi angekutambulisha kwa jamaa lilombikiri na ukutane nalo linatabasamu kumuona mkeo wewe ungejisikiaje? hili swali umelala mbele nini tena na wewe mwenzetu naona niunaishi kizungu nafikiri unaweza hayta kumkaribisha aje mnywe naye chai au ka glasi ka ugimbi ha ha ha
 
Oh sijakimbia swali lako mkuu, namjua jamaa aliekuwa nae before mimi na nilishagakutana nae mara kibao tu na haina noma maana alikuwa nae na sasa niko nae au sio? aliyembikiri ndo hayo mambo tunasema ni yangu na yeye mzee so sitayaandika hapa maana mie si msemaji wake niliongelea mimi kama mimi kuwa aliyenibikiri na sio aliembikiri mke wangu tupo kaka mluga? So mwaga maushauri nadhani umeelewa sasa....
 
Nitaonekana sio mwanaume kutoa copy ya ushauri wangu kuomba kwenu, mwanaume hasa hata mke wake anajua anayoyasema yeye ndo kajenga hoja sio wanaume wengine, usije muonyeshe mke wako ushauri unaopewa na rafiki yako mambo yenu ya ndani, kama ni hivyo basi tungekuwa tunawachukua marafiki zetu kuja kutoa ushauri moja kwa kwa moja na sio kuomba ushauri then uende mwambie mkeo, USHAURI hutolewa na mshauriwa huedit what needed na kudelete what unwanted lkn sio kuonyesha copy...mkeo atakuona wewe mwanaume suruali maana hata ushauri unatoa copy?She is too far to that mzee....
wazee a kudesa kudadadadadadeki
 
Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.
acha uzushi wewe, si unasema unatafuta mzungu akuzalishe, au ndio mmekubaliana na mume wako
 
Leo katika piata pita zangu nikiwa na mamaaa(mama kubwa) nikagongana na Ex wangu, nikasalimiana nae vizuri tu huku akitabasamu mpaka mamaa akashtuka na kutaka kuondoka akizani ni Nyumba ndogo, nikamtambulisha kuwa yule nilyenaye ni mke wangu na tuna mtoto mmoja, kasheshe ilianza mara baada ya kurudi nyumbani maana nilishagamwambia tangu niachane na ex wangu sijapata kumwona tena na sijui aliko, sasa mke wangu hajiamini kwa sasa akidhani mie nitaanza contact na yule ex wangu ingawa nimemwambia hilo kwangu halipo na wala asiwaze, jamani bibie hajiamini kwa sasa kila kitu anataja jina la ex wangu, kanitega swali moja, je alikuwa anakufanyia nini x wako wakati wa mechi? jamani niko stranded hapa msaada, na mjue huyo ex yuko fiti kila kona ila tabia yake kwangu haikunifurahisha so tukaachana kwa amani tuuu na sio ugomvi, bibie kauliza mliachana vipi? nani alimwacha mwenzake?haamini kweli tuliachana kwa amani, jamani kwa nini wanawake hawajiamini? nampenda mke wangu na hata number ya yule ex sina ila aliniambia anapofanya kazi kama na muda nimtembeleee....

Msaada jamani, preta, first lady na wengineo, wazee wa jukwaa la mapenzi mpoooooooooo....ndoa yangu jamani ni ya gharama sana maana ni mungu tu ndo anaweza tutenganisha kama kiapo chetu...
kakangu wanawake tunapenda kupendwa na kuambiwa mambo mazuri all the time and most important ni kuwa assured that hatuibiwi nje,so as u said ur a good husband please ongeza MALOVE AND ATTENTION thats it.mi nahisi kuna body language uliionyesha wakati unaongea na huyo kicheche wako wa zamani lakini,kwakua umetuhakikishia uko poa,just concentrate with faithfulness to ur wife and msiliongelee kitu chochote kuhusu huyo ex wako na hata akianzisha mwambie hutaki kuongelea,wivu ni ugonjwa ndugu yangu hayo yote nia mapenzi tu yamemjaa mkeo.usiache kumpenda mkeo!,ghafla nimetamani wewe unaymfanyia mkeo ndo yangekua yanafanywa na blackberry wangu.lucky her
 
Back
Top Bottom