Face to face na X wangu

Face to face na X wangu

Endelea kumsomesha mpaka aelewe nia thabiti
 
Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.

hee, we si ndio unatafuta wa kukuzalisha mtoto utalea mwenyewe?? sasa vipi kumbe una mume!!
 
Hivi wachina hawajafanikiwa kututengenezea dawa za kukontrol wivu? ingesaidia ndoa nyingi sana


Shida ni pale zinapoishiwa nguvu..............wivu waweza rudi mara 2 yake teh teh teh teh teh
 
hee, we si ndio unatafuta wa kukuzalisha mtoto utalea mwenyewe?? sasa vipi kumbe una mume!!

labda mumewe kaleta mtoto wa kichotara,sasa ndio anataka kujibu mapigo....:teeth:
 
Nadhani ni muda sasa wewe udeke.Mweleze kuwa umekuwa mkweli kwake muda wote lakini bado yeye ameshindwa kukuamini na unaanza kukosa amani rohoni mwako.
Elewa kuwa kosa lako ni kumweleza kuwa Ex wako ni Kicheche na anapenda waume za watu na hii ni threat tosha kwa mamaa kwamba lazima one day ex atahakikisha na tembelea makaazi ya zamani kuona kama bado inatoa dozi kama zamani au omechoka.

Second.
Jaribu kuharibu mazuri yote uliyomwabia kuhusu Ex wako,au tumia hoja ya kutokutaka kusikia ya ex wako kwa kisingizio cha kukosa amani kwa mtu ambaye hukumpenda baada yakufahamu taabia yake .

Kwa ujumla pole,yote ni mapenzi na kwa namna moja inajenga mapenzi huko mbeleni kama utayashinda hayo.
 
Back
Top Bottom