Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.
Hivi wachina hawajafanikiwa kututengenezea dawa za kukontrol wivu? ingesaidia ndoa nyingi sana
hee, we si ndio unatafuta wa kukuzalisha mtoto utalea mwenyewe?? sasa vipi kumbe una mume!!