Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,123
Chochote kitachokupata unastahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natamani kumwambia nampenda lakini naogopa asivunje YaiYeah! kiujumla haka kalugha ni janga la taifa mkuu kwa hiyo hawa mabint inabidi wapunguze hii mambo la sivyo tutaumizana macho humu.
Kulikuwa na umuhimu gani wa ku quote thread? Si ungeandika tu coment yako? Kwan watu hawajui kwamba sote tinacoment kujusu hiyo thread? Kujaza pages tu. MfyuuuuuThread nyingine zinatia hasira sana!! sasa ndugu yangu tukupe msaada gani? wakati mnabanjuana ulituomba msaada?
....hahahaha.......mchane tu mkuu, ukiona anakuvunjia yai na ww tupia hata kabroken si unajua zile za morning talk enzi hizo?natamani kumwambia nampenda lakini naogopa asivunje Yai
Yes dear inatia hasira sana ... He knew from the beginning that he is married .. Hata kama Huyo mama hakuwa mke wa mtu still he wasn't suppose to go and approach other women since he has a wife at home ... Kwa kweli hizi Ndoa ni tabu sana aaggghhrrr.. Kama hatuko tayari and don't know the meaning of marriage why married ? Aggrrrrhhh... Thanks..
Very true for what you have wrote.. I agreed... If the other woman's husband asingegundua I doubt it kama angestop ... Anyway atupe feedback ..Thanks..Dont get angry over this, I understand there is no justification for what this married man did.
Most of us are not disciplined when it comes to commitments, marriage vows and even to simple daily decision-making.
The only reason this guy is seeking for the advise is because the other husband has discovered the adultery of his wife.
He is not sorry for failing to keep his marriage vows to his wife. He has been taught to be afraid and not responsible for his action.
Unless he changes that type of thinking, then all these bunch of advises will do good to him.
God have mercy on us.
Aisee wewe wakirige na wakufanyie huo mchezo mbaya you deserve it ........Nilijiunga Facebook muda kidogo kama miaka 6 sasa na kipindi chote nimekutana na watu mbali mbali ila sikuwahi kuwa na tamaa na mwanamke wa Facebook kwa maana ya mkumtongoza mwanamke Fb mpaka ilipotokea kwa huyu.
Huyu Dada hata sijui ilitokeaje tukawa marafiki Fb tukajikuta tuaanza kuchati mazungumzonya kawaida kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kuona mazungumzo yanahama nakaa najaribu kuonesha heshima maana ilikuwa kanizidi umri kidogo tukabadirisha namba za simu sikuwa najua kama kaolewa na hakuniambia ila mie alijua na make kwani aliona picha Fb.
Tukapanga tuonane siku moja Mungu sio Jecha wala Lowasa ikatokea siku tukaonana katika maongezi na hapo kaishanipuna Savannah sijui nyama choma tukajikuta tupo hoi ndio ananiambia ni mke wa mtu nikajisemea lazima nimtafune kaishanitia hasara nikamgegeda lakini nafsi ilinisuta sana nikiona namsaliti wife ambae yeye nina uhakika ni muaminifu na hata siku hiyo angekuwa makini angegundua hiyo ikapita tukakaa muda mrefu story ni kwenye Fb tu maana simu ni kimeo wenza wetu wangeweza kutustukia.
Sasa juzi juzi ilikuwa Jumapili wife kaenda kwenye issues zake huyu mama kanipigia akaniuliza nipo wapi nikamwambia home akaniambia nimfate sehemu ni kawa sina ujanja kwenda nakuta kaishalipia chumba na kaagiza mbuzi katoliki na Pepsi baridi nikala na nikamgegeda vizuri sana mpaka akadata.
Sasa tatizo amekuwa msumbufu akidai Mzee wake hamfikishi vizuri na mambo kibao, na toka juzi kuna namba ilinitumia sms ikidai imekuta sms kwenye namba ya mke wake anataka kukua mie ni nani sikuijibu nichofanya ni kumblock Fb huyu dada na kwenye simu ila mpaka anafanya hivyo,
nilikuwa nimeshapigiwa simu sana sikupokea maana sijui nitaongea nini alichosema atahakikisha ananidaka sasa nahofia kufanyiwa kitu ile Mungu hapendi au kurogwa maana huyu jamaa ni Msukuma.
Naombeni ushauri jamani nipo kwenye wakati mgumu,nifanyeje.
nakumbuka sana mkuu maana nilikuwa nikiongea kikristo mpaka nikajupatia binti ingawa nilikuwa muoga.....hahahaha.......mchane tu mkuu, ukiona anakuvunjia yai na ww tupia hata kabroken si unajua zile za morning talk enzi hizo?
Wewe hata ufunge mwaka mzima nimekuambia nitakukamata tu....mke anauma sana,lazima nanihii yako niihamishie nyuma mwaka huu ili ukome kabisa......abhagalu tutalemelagwa...Toka Jana nimeanza maombi na kufunga naona hata speed ya jamaa kunipigia imepungua
Na nitamuonyeshaHa ha ha eti jamaa ni Msukuma
Hahahaha hivyo unavyofikiria huwezi na ukija kichwa kichwa na ww nakufanya vibayaWewe hata ufunge mwaka mzima nimekuambia nitakukamata tu....mke anauma sana,lazima nanihii yako niihamishie nyuma mwaka huu ili ukome kabisa......abhagalu tutalemelagwa...
Ahaàa sasa subiri..Hahahaha hivyo unavyofikiria huwezi na ukija kichwa kichwa na ww nakufanya vibaya
Basi kaa kimya usiropoke maana ww ni mtakatifuMambo mengine hata hayafai ushauri. Uzinzi tu lione
Sawa wewe kwani utaishi mileleSubiri kufa tu maana hakuna namna nyingine, ungeomba ushauri kabla hujazini naye