Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Umeisha baba..Jisalimishe tu mkuu *Kiroho Sayona* na kwenye nyumba ya ibada uende ukatubu
 
Yeah! kiujumla haka kalugha ni janga la taifa mkuu kwa hiyo hawa mabint inabidi wapunguze hii mambo la sivyo tutaumizana macho humu.
natamani kumwambia nampenda lakini naogopa asivunje Yai
 
Thread nyingine zinatia hasira sana!! sasa ndugu yangu tukupe msaada gani? wakati mnabanjuana ulituomba msaada?
Kulikuwa na umuhimu gani wa ku quote thread? Si ungeandika tu coment yako? Kwan watu hawajui kwamba sote tinacoment kujusu hiyo thread? Kujaza pages tu. Mfyuuuuu
 
natamani kumwambia nampenda lakini naogopa asivunje Yai
....hahahaha.......mchane tu mkuu, ukiona anakuvunjia yai na ww tupia hata kabroken si unajua zile za morning talk enzi hizo?
 

Dont get angry over this, I understand there is no justification for what this married man did.
Most of us are not disciplined when it comes to commitments, marriage vows and even to simple daily decision-making.
The only reason this guy is seeking for the advise is because the other husband has discovered the adultery of his wife.
He is not sorry for failing to keep his marriage vows to his wife. He has been taught to be afraid and not responsible for his action.
Unless he changes that type of thinking, then all these bunch of advises will do good to him.
God have mercy on us.
 
Neno lipo wazi kwa kila mtu na ni lazima litimie. Mshahara wa dhambi ni mauti. Fanya toba ya KWELI ili Mwenyezi MUNGU akusamehe kwa neno lake; ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu sana zitakuwa nyeupe kama theruji.
 
Very true for what you have wrote.. I agreed... If the other woman's husband asingegundua I doubt it kama angestop ... Anyway atupe feedback ..Thanks..
 
Aisee wewe wakirige na wakufanyie huo mchezo mbaya you deserve it ........
 
Subiri kufa tu maana hakuna namna nyingine, ungeomba ushauri kabla hujazini naye
 
....hahahaha.......mchane tu mkuu, ukiona anakuvunjia yai na ww tupia hata kabroken si unajua zile za morning talk enzi hizo?
nakumbuka sana mkuu maana nilikuwa nikiongea kikristo mpaka nikajupatia binti ingawa nilikuwa muoga.
 
Toka Jana nimeanza maombi na kufunga naona hata speed ya jamaa kunipigia imepungua
Wewe hata ufunge mwaka mzima nimekuambia nitakukamata tu....mke anauma sana,lazima nanihii yako niihamishie nyuma mwaka huu ili ukome kabisa......abhagalu tutalemelagwa...
 
Wewe hata ufunge mwaka mzima nimekuambia nitakukamata tu....mke anauma sana,lazima nanihii yako niihamishie nyuma mwaka huu ili ukome kabisa......abhagalu tutalemelagwa...
Hahahaha hivyo unavyofikiria huwezi na ukija kichwa kichwa na ww nakufanya vibaya
 
Pole sana, shetani ndo alishakuzidi nguvu, cha kufanya kwanza kaa ukumbuke aina ya msg ulotuma kwa huyo dada ukishakumbuka, mpigie huyo dada kumfahamisha kama anaifahamu hiyo namba ila mpigie huyo dada kwa namba nyingine na sio hiyo yako mlozea kuwasiliana, na ikiwezekana tumia mwanamke aanze kuongea nae kwanza akiwa free ndo uongee nae, ukishajiridhisha ni mumewe na msg alizokuta ukishazikumbuka mpigie jamaa na umsikize anachotaka kuongea, na jaribu kumuelewesha kulingana na msg unaweza ukajitetea kwa kusema kuwa ni mkeo ndio alieanzisha hayo mawasiliano na pia hakusema kama ameolewa na pia sijawahi kufanya nae kitu chochote, YANI USIJE UKAJIDANGANYA KUSEMA UMEFANYA UMEKWISHA, BISHA GOMA HATA UKILETEWA PICHA BISHA, Na pia jishushe kwa jamaa muombe msamaha sana, na umueleze ushadelete kila kitu na hutaki hata kumsikia, na UACHE USALITI WAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…