Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Sijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine.

Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.

IMG_1908.jpg

IMG_1907.jpg
 
umewahi kuishi hata south africa ! tu.

wenzetu kupenda sheria ni hatari .

huku kwetu unaweza kula mkeo mda unaotaka na asikufanye chochote ila kule ukifanya hivo hata kama unawatoto kumi naye unakufungulia kesi ya kubaka.
Badala ya kutetea hoja yako unaishia kumtishia mtu kukaa South Africa [emoji23]. Je, kama huyo unaemjibu yuko huko huko Marekani? Btw Mark Zuckerberg siyo poyoyo kiasi hicho, ndiyo maana kafika hapo alipo katika umri mdogo.
 
Imebidi nicheke,kwamba jamaa anataka kutuletea story za kwenye kahawa za Facebook kufilisiwa [emoji3]
Kwani wanao jitokeza kweye skendo wanakuja ukiwa hupo sehemu gani!
 
Siyo rahisi hivyo wewe!

Hao Facebook hadi kuitengeneza hiyo logo walishafanya research za kutosha! Hayo unayoyawaza wewe walishayawaza muda mrefu uliopita hata kabla wewe hujapa ABc's za Meta!
 
Infinity logo ni ya muda mrefu ,kampuni kadhaa zinaitumia.Nimeona pia articles zinadai inaendana na ya wechat chanel😅
604E907A-27ED-4901-A3C1-0ED0787FA7C9.png
 
Siyo rahisi hivyo wewe!
Hao facebook hadi kuitengeneza hiyo logo walishafanya research za kutosha! Hayo unayoyawaza wewe walishayawaza muda mrefu uliopita hata kabla wewe hujapa ABc's za Meta!

basi na mimi naenda kuchukua logo apple kufanyia kampuni yangu.kama unasema hivo.

kitu kimoja watu tuliozidiwa na kila kitu tunaona waliotuzidi wanauwezo kuliko sisi
 
uzi hupo subiri.uje ujifunze kuwa akili yako hipo vipi

Sasa wewe unaetaka kutuelewesha mbona hata matumizi tu ya h kwako ni tatizo.Narudia tena Mark hawezi filisiwa kijinga hivyo,ni smart ndiyo maana akafika hapo alipo
 
basi na mimi naenda kuchukua logo apple kufanyia kampuni yangu.kama unasema hivo.

kitu kimoja watu tuliozidiwa na kila kitu tunaona waliotuzidi wanauwezo kuliko sisi

Ungekuwa na kampuni usingeandika huu utopolo!

Kiufupi huna unachojua, zaidi ya kuokota porojo huko vijiweni ukaleta uzi huku!

Mark Zuckerberg siyo mwehu, wala huenei kwenye viganja vya mkono wake mmoja!
Wewe kaa usubirie kesi sasa!
 
tupo hapa kwani uzi unafutika.

alafu siokoti habari. watu wanasubiri kutambulisha kuwa rasmi ndio utaona wanataka kumtandika vipi.

subiri
 
Ungekuwa na kampuni usingeandika huu utopolo!
Kiufupi huna unachojua, zaidi ya kuokota porojo huko vijiweni ukaleta uzi huku!
Mark Zuckerberg siyo mwehu, wala huenei kwenye viganja vya mkono wake mmoja!
Wewe kaa usubirie kesi sasa!

chukua chata ya nike kaweke kwenye kampuni yako kwa akili zako za utopolo wako
 
Wakuu kuwa "inspired" kuna maana kubwa sana. Hata siku moja huwezi kushtakiwa kwa kuwa inspired na kazi ya mtu mwingine.

Utashtakiwa endapo utatumia logo na jina la kampuni, kwa sababu unaweza tumia jina lao ukatoa huduma mbovu na kuharibu reputation ya jina la kampuni.

Kama unakumbuka enzi zile wachina wanamkopi Nokia. Walikuwa wanatengeneza simu ya kufanana kabisa na Nokia lakini jina watabadilisha. Wataita labda Nakia n.k

Hata viatu vya brand vinakopiwa sana lakini lazima watabadilisha jina la kampuni. Mf. kwenye logo ya kiatu kampuni ya Balenciaga.

Kikiwa fake watatumia inspiration ya logo lakini watabadili brand name, kuepuka kukamatwa kwa kuiharibia kampuni jina.

Hiyo ni mifano tu mkuu kukupa picha halisi.
 
Back
Top Bottom