Mleta mada kuna kitu hukijui. Iko hivi;
Hii nembo au symbol
View attachment 1993690
inaitwa "infinity symbol". Hii ni logo ambayo haimilikiwi na MTU yeyote yule, its a mathematical symbol thus anyone can use it.
Ni kama vile alama ya "+" ambayo haimilikiwi na MTU ,yaani hakuna mwenye hati miliki ya nembo hizo.
Alichokifanya mmiliki wa facebook ni kuongeza jina la kampuni yake (METAVERSE) kwenye nembo ya "infinity".
Zuckerberg ana akili na wala hajakurupuka. Hata wewe pia uko huru kuanzisha kampuni yako na ukaipa jina unalotaka na ukaitumia nembo ya "infinity" bila ya kusumbuliwa na MTU yeyote sababu nembo hakuna anayeimiliki hapa duniani.