Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Ikiwa atatumia neno hilo hilo NIKE hapo atakuwa amevunja sheria na atashitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa ya biashara.Nike Ni kisukuma Kwa Kiswahili maana yake 'nishuke'
Je! Msukuma akianzisha kampuni yake akaiita nishuke Kwa kisukuma (NIKE) halafu akaweka alama universal ya tiki Atakuwa amevunja sheria?
Kwahyo haruhusiwi kutumia neno la lugha yake mwenyewe?Ikiwa atatumia neno hilo hilo NIKE hapo atakuwa amevunja sheria na atashitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa ya biashara.
Lakini akitumia neno lingine, mafano akatumia neno NISHUKE na kuweka ile alama ya "tick" atakuwa hajavunja sheria.
Hili jina NIKE hata kama lina maana kwenye Kisukuma au Kinyaturu hiyo haikupi nafasi au uhuru wewe Msukuma kulitumia kibiashara sababu tayari limekwisha wekewa hati miliki (patent).Kwahyo haruhusiwi kutumia neno la lugha yake mwenyewe?
Sasa kama mtu ameweza kuchukua patent ya maneno universal kama face Na book anashindwaje kuchukua patent ya alama ya tiki Na kuzuia mtu yeyote kuitumia kibiashara?Hili jina NIKE hata kama lina maana kwenye Kisukuma au Kinyaturu hiyo haikupi nafasi au uhuru wewe Msukuma kulitumia kibiashara sababu tayari limekwisha wekewa hati miliki (patent).
Mfano neno 'Facebook' ni muunganiko wa maneno mawili ya Kiingereza, "face" na "book". Hata kama haya ni maneno ya Kiingereza bado siyo ruhusa kwa Mwingereza kuyatumia maneno haya kibiaashara sababu tayari Mark Zuckerberg alikwisha yawekea hati miliki.
Kisheria zaidi kinachoitambulisha biashara ni jina na siyo alama. Hata kwenye hati miliki (patent) kinachosajiliwa ni jina na siyo alama (symbol).Ba
Sasa kama mtu ameweza kuchukua patent ya maneno universal kama face Na book anashindwaje kuchukua patent ya alama ya tiki Na kuzuia mtu yeyote kuitumia kibiashara?
kwenye mziki unasajili jina la wimbo na mwandishi tu, lakini mtu akikopi jina la wimbo sio kesi..kesi ni pale akiiga mashairi, chord progression, melodies nk. ndo anaweza kufunguliwa copyright case.Kisheria zaidi kinachoitambulisha biashara ni jina na siyo alama. Hata kwenye hati miliki (patent) kinachosajiliwa ni jina na siyo alama (symbol).
Nafikiri nimeshajibu hili swali. Maswali yako yanajirudia rudia, unabadilisha badilisha tu maneno lakini swali ni lile lile.kwenye mziki unasajili jina la wimbo na mwandishi tu, lakini mtu akikopi jina la wimbo sio kesi..kesi ni pale akiiga mashairi, chord progression, melodies nk. ndo anaweza kufunguliwa copyright case.
Kwahyo hakuna patent ya logos?
Mbona hazifananiSijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine.
Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.
View attachment 1993456
View attachment 1993457