Facebook kuanza Monetization (Uvunaji mapato) kwa content creator

Facebook kuanza Monetization (Uvunaji mapato) kwa content creator

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google (Google AdSense)

Hivyo hivyo na Facebook mbioni kuanzisha Uvunaji mapato kwa waandaa Maudhui wa mtandao huo wa Facebook.

Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi wa Meta (Facebook kwa ujumla) Bwana Mark Zuckerberg ulisomeka hivi;

We're expanding tests of new monetization tools for Facebook Reels, starting with overlay ads like banner and sticker ads so that more creators can earn ad revenue, and we're rolling out full-screen and immersive ads between Reels soon.

Hivyo kwa wamiliki wa kurasa na akaunti mjiandae kwa Uvunaji mapato kwa Facebook
 
hii itakuwaje, kwa wataalamu? mtueleze.
Hapa kwa mfano una page yako Facebook na inatembelewa (kuonekana) na watu wengi. Hivyo unaweza jiunga na Facebook Monetization ili wawe wanaweka matangazo kwenye ukurasa wako hivyo watembeleaji wako wakiona tangazo au kugusa wewe hapo unachuma mapato
 
Mimi tayari nna page kubwa yenye watu 207,000,kwenye category moja nishapewa approve, category nchi yetu haliwezi kumonetize
 
Back
Top Bottom