Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google (Google AdSense)
Hivyo hivyo na Facebook mbioni kuanzisha Uvunaji mapato kwa waandaa Maudhui wa mtandao huo wa Facebook.
Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi wa Meta (Facebook kwa ujumla) Bwana Mark Zuckerberg ulisomeka hivi;
We're expanding tests of new monetization tools for Facebook Reels, starting with overlay ads like banner and sticker ads so that more creators can earn ad revenue, and we're rolling out full-screen and immersive ads between Reels soon.
Hivyo kwa wamiliki wa kurasa na akaunti mjiandae kwa Uvunaji mapato kwa Facebook