Stylz
Member
- Oct 10, 2016
- 17
- 18
Habari zenu wana JF
Nadhani technology inakuwa kwa kasi sana sana kiasi kwamba unatakiwa uwe active sana kuendananyo. Baadhi yetu ni wagumu sana kuelewa hili na tunajificha kwenye mwamvuli wa neno “utapeli” bila hata research za kutosha ili tu, tusikubaliane na kasi ya teknologia
Mapema mwakani facebook wakishirikiana na kampuni kama uber na mastercard, pamoja na some financial regulators kutoka marekani na Uk wataanzisha cryptocurrency currency mpya itakayoitwa “Libra” itakayokuwa kwenye mfumo wa chain inayoitwa Caribra
Hii cryptocurrency ya libra itatumika kwa users wote wa facebook na whatsapp kufanya malipo na transaction mbalimbali kati ya users kwa users na hata kwa makampuni mbalimbali mpk internationally bila kupitia bank wala malipo yoyote km bank charges...
Nadhani litakapofanikiwa hili hivi vitu kama cryptocurrency, forex trading na stocks trading vitakuwa very open na kuanza kuaminika zaidi ila hofu yangu kubwa wengi kama kawaida yetu especially wa africa tutakuwa tumeshapitwa vya kutosha na badala yake tutakuwa fursa juu ya fursa.
Nadhani kunawatu wanamadini ya kutosha kuhusu hii fursa mpya inayokuja msijichimbie nayo ndani. ningependa kuwa karibisha kwenye ukurasa huu mtupe maelezo ya kutosha kuhusu hii kitu na jinsi ya kuwa makini nacho maana soon wazee wakuchangamkia fursa wataanza kuja kupiga watu wasio na uelewa.
Binafsi naona watu wengi wamejiandaa vya kutosha kununua as soon ikiwa introduced kwenye market kitu ambacho kimenishtua kidogo kutaka kuwa makini vya kutosha kwani wanasema “money goes to minor and not to majority”. Nadhani kuna haja ya kuichambua vya kutosha kujiridhisha na hatua za kuchukua pindi itakapokuwa introduced