Facebook kuanzisha cryptocurrency mpya “LIBRA” itakayotumika na users wake kufanya transaction mbalimbali

Stylz

Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
17
Reaction score
18
Habari zenu wana JF
Nadhani technology inakuwa kwa kasi sana sana kiasi kwamba unatakiwa uwe active sana kuendananyo. Baadhi yetu ni wagumu sana kuelewa hili na tunajificha kwenye mwamvuli wa neno “utapeli” bila hata research za kutosha ili tu, tusikubaliane na kasi ya teknologia

Mapema mwakani facebook wakishirikiana na kampuni kama uber na mastercard, pamoja na some financial regulators kutoka marekani na Uk wataanzisha cryptocurrency currency mpya itakayoitwa “Libra” itakayokuwa kwenye mfumo wa chain inayoitwa Caribra

Hii cryptocurrency ya libra itatumika kwa users wote wa facebook na whatsapp kufanya malipo na transaction mbalimbali kati ya users kwa users na hata kwa makampuni mbalimbali mpk internationally bila kupitia bank wala malipo yoyote km bank charges...

Nadhani litakapofanikiwa hili hivi vitu kama cryptocurrency, forex trading na stocks trading vitakuwa very open na kuanza kuaminika zaidi ila hofu yangu kubwa wengi kama kawaida yetu especially wa africa tutakuwa tumeshapitwa vya kutosha na badala yake tutakuwa fursa juu ya fursa.

Nadhani kunawatu wanamadini ya kutosha kuhusu hii fursa mpya inayokuja msijichimbie nayo ndani. ningependa kuwa karibisha kwenye ukurasa huu mtupe maelezo ya kutosha kuhusu hii kitu na jinsi ya kuwa makini nacho maana soon wazee wakuchangamkia fursa wataanza kuja kupiga watu wasio na uelewa.

Binafsi naona watu wengi wamejiandaa vya kutosha kununua as soon ikiwa introduced kwenye market kitu ambacho kimenishtua kidogo kutaka kuwa makini vya kutosha kwani wanasema “money goes to minor and not to majority”. Nadhani kuna haja ya kuichambua vya kutosha kujiridhisha na hatua za kuchukua pindi itakapokuwa introduced
IMG_0410.JPG
 
Hv itakuwa inapanda thaman kama bitcoin??
Habari zenu wana JF
Nadhani technology inakuwa kwa kasi sana sana kiasi kwamba unatakiwa uwe active sana kuendananyo. Baadhi yetu ni wagumu sana kuelewa hili na tunajificha kwenye mwamvuli wa neno “utapeli” bila hata research za kutosha ili tu, tusikubaliane na kasi ya teknologia

Mapema mwakani facebook wakishirikiana na kampuni kama uber na mastercard, pamoja na some financial regulators kutoka marekani na Uk wataanzisha cryptocurrency currency mpya itakayoitwa “Libra” itakayokuwa kwenye mfumo wa chain inayoitwa Caribra

Hii cryptocurrency ya libra itatumika kwa users wote wa facebook na whatsapp kufanya malipo na transaction mbalimbali kati ya users kwa users na hata kwa makampuni mbalimbali mpk internationally bila kupitia bank wala malipo yoyote km bank charges...

Nadhani litakapofanikiwa hili hivi vitu kama cryptocurrency, forex trading na stocks trading vitakuwa very open na kuanza kuaminika zaidi ila hofu yangu kubwa wengi kama kawaida yetu especially wa africa tutakuwa tumeshapitwa vya kutosha na badala yake tutakuwa fursa juu ya fursa.

Nadhani kunawatu wanamadini ya kutosha kuhusu hii fursa mpya inayokuja msijichimbie nayo ndani. ningependa kuwa karibisha kwenye ukurasa huu mtupe maelezo ya kutosha kuhusu hii kitu na jinsi ya kuwa makini nacho maana soon wazee wakuchangamkia fursa wataanza kuja kupiga watu wasio na uelewa.

Binafsi naona watu wengi wamejiandaa vya kutosha kununua as soon ikiwa introduced kwenye market kitu ambacho kimenishtua kidogo kutaka kuwa makini vya kutosha kwani wanasema “money goes to minor and not to majority”. Nadhani kuna haja ya kuichambua vya kutosha kujiridhisha na hatua za kuchukua pindi itakapokuwa introducedView attachment 1142331
 
Yah lakini haitakuwa mpinzani wa bitcoin. Ipo kwenye mfumo tofauti kidgo...nasubir wajuzi wajekufanunua
 
Mada kama hizi vigumu sana kupata wadau wenye uelewa mkubwa wa haya mambo...
Ila anzisha mada ya udaku. ..anyway naifuatilia hii kwa karibu
Yah lakini haitakuwa mpinzani wa bitcoin. Ipo kwenye mfumo tofauti kidgo...nasubir wajuzi wajekufanunua
 
Nasubiri Google watakapoanzisha crypto currency yake ninunue...itakuwa juu ya zote amini
 
Tozo mbalimbali za serekali watutozazo itakuwaje? upo uwezekano watu wengi wakaficha fedha humo / wenye fedha mingi.
WAANZE MAPEMA BANA.
 
The European Commission is "currently
investigating potential anti-competitive
behavior" related to the Libra Association
amid concerns the proposed payment
system would unfairly shut out rivals,
the EU authority said in a questionnaire
sent out earlier this month.
 
Hii inaweza kuwa ni nzuri ila kwenye makato ya kutoa nahisi hayaepukiki iwe nikwa Bank au mitandao ya simu..
Ngoja tuone itakuwaje maana dunia inakimbia sana kwa upande wa Technology
 
Back
Top Bottom