Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia Facebook au Messenger yenyewe.
Back to topic, Facebook wamefanya maboresho kwa jumbe za Messanger hivyo endapo kama unachati na mtu Messenger na ukaweka option ya ujumbe kupotea baada ya muda mfano siku, wiki au mwezi na Mtu aka screenshot ujumbe huo Facebook watakutumia ujumbe kuwa ujumbe ume screen shotiwa.
Hii ni kuboresha usalama wa faragha za mtumiaji hivyo Mtu aki screenshot utapokea ujumbe wa taarifa za screenshot kwenye ujumbe ulio tuma. Hivyo haya yanafanyika kwa sasa hivyo inatakiwa kuupdate Facebook yako ili kufaidika na maboresho haya.