dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hahaha, nice trickNikizima data then nika-screenshot?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha, nice trickNikizima data then nika-screenshot?
mhhh itazuia kwelihahaha, nice trick
Huenda wakijua kuna mwanya huo wanaweza fanya maboresho.Hii ni nzuri kweli ku protect privacy za watu. Ila there is always a way around something, kama mm hapo nishaona mfano sitaki mtu alienitumia sms ajue nime screen shot, i could use screen recording au rahisi zaidi nipige picha hizo conversations kutumia simu nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hapa kwenye hizo clone Zenu za WhatsApp ni kiboko ngoja tusubiri tuone.Wakileta hiyo options WhatsApp, maboss wetu developer wa GB,FM WhatsApp wataingia mzigoni kutuletea ant -Screenshot yake🤣🤣yaan nitascreenshot na hamna ujumbe utapewa.
Anajaribu kujifanya anajali privacy maana ana reputation mbaya kwenye hili.Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia Facebook au Messenger yenyewe.
Back to topic, Facebook wamefanya maboresho kwa jumbe za Messanger hivyo endapo kama unachati na mtu Messenger na ukaweka option ya ujumbe kupotea baada ya muda mfano siku, wiki au mwezi na Mtu aka screenshot ujumbe huo Facebook watakutumia ujumbe kuwa ujumbe ume screen shotiwa.
Hii ni kuboresha usalama wa faragha za mtumiaji hivyo Mtu aki screenshot utapokea ujumbe wa taarifa za screenshot kwenye ujumbe ulio tuma. Hivyo haya yanafanyika kwa sasa hivyo inatakiwa kuupdate Facebook yako ili kufaidika na maboresho haya.
Hata app ya paypal, tena wao wameenda. Bali zaidi kuna sehemu ambazo screen recording haifanyi piaCRDB app yao mbona huwezi screenshot? Ni ishu ndogo tu sikuona sababu ya mtu kufungulia uzi.
Hapo naona anajijengea uaminifu kwa wateja wake ili kujua analinda faragha za mtumiaji.Anajaribu kujifanya anajali privacy maana ana reputation mbaya kwenye hili.
Sijui atafanikiwa na metaverse yake maana naona anapump in billions of dollars.
Anaweza end up akaangukiwa pua
Nasubiri kuona matokeo ya metaverse yakeHapo naona anajijengea uaminifu kwa wateja wake ili kujua analinda faragha za mtumiaji.