Facebook kutoa taarifa endapo Mtu aki screenshot ujumbe kwenye messenger

Huenda wakijua kuna mwanya huo wanaweza fanya maboresho.
 
Wakileta hiyo options WhatsApp, maboss wetu developer wa GB,FM WhatsApp wataingia mzigoni kutuletea ant -Screenshot yake🤣🤣yaan nitascreenshot na hamna ujumbe utapewa.
Ila hapa kwenye hizo clone Zenu za WhatsApp ni kiboko ngoja tusubiri tuone.
 
CRDB app yao mbona huwezi screenshot? Ni ishu ndogo tu sikuona sababu ya mtu kufungulia uzi.
 
CRDB app yao mbona huwezi screenshot? Ni ishu ndogo tu sikuona sababu ya mtu kufungulia uzi.
Lengo ni kujuzana harafu hayo ni mabadiliko kutoka sehemu moja kwenye nyingine.
 
Anajaribu kujifanya anajali privacy maana ana reputation mbaya kwenye hili.
Sijui atafanikiwa na metaverse yake maana naona anapump in billions of dollars.
Anaweza end up akaangukiwa pua
 
CRDB app yao mbona huwezi screenshot? Ni ishu ndogo tu sikuona sababu ya mtu kufungulia uzi.
Hata app ya paypal, tena wao wameenda. Bali zaidi kuna sehemu ambazo screen recording haifanyi pia
 
Anajaribu kujifanya anajali privacy maana ana reputation mbaya kwenye hili.
Sijui atafanikiwa na metaverse yake maana naona anapump in billions of dollars.
Anaweza end up akaangukiwa pua
Hapo naona anajijengea uaminifu kwa wateja wake ili kujua analinda faragha za mtumiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…