Facebook page ya JK

Facebook page ya JK

Nini haja ya Mhe. Rais kuwa kwenye Facebook ?..

Kwani hata akija hapa JF mtamwandama jamani?Hongera kaka Kikwete...mbona kina Dr W Slaa,Kina Zito na wengi tuu wako hapa JF?one day they can be like kikwete presdaa je mtawasema pia kuwa wako kwa JF?hii ni blog la wasomi jamani na sasa ni sela za mitandao tuu..keep it up broda Kikwete tena weka na picha kibao za udogoni mkubwa..hata kama hi5 yumo bravo tuuu...
 
- Vipi kuna sheria imevunjwa hapo? Wewe kesho ukiwa rais vipi nitavunja sheria nikisema tulikua wote zamani JF? Great Thinker vipi unasumbuliwa na mambo madogo kwani Rais ni nani mkuu si binadam tu hata wewe unaweza kuwa, au Bwa! ha! ha! ha! tuliza kitenesi mkuu1

Respect.

FMEs!

nothing personal......
 
- Vipi kuna sheria imevunjwa hapo? Wewe kesho ukiwa rais vipi nitavunja sheria nikisema tulikua wote zamani JF? Great Thinker vipi unasumbuliwa na mambo madogo kwani Rais ni nani mkuu si binadam tu hata wewe unaweza kuwa, au Bwa! ha! ha! ha! tuliza kitenesi mkuu1

Respect.

FMEs!

sio kila swali ni ugomvi...
maswali mengine ni kutafuta
infos ambazo can be helpfull
in some bussiness.
 
mkuu....
una urafiki na marais wangapi????
???
nothing personal......

sio kila swali ni ugomvi...
maswali mengine ni kutafuta
infos ambazo can be helpfull
in some bussiness.
- Now you are talking, business, lakini ungenitafuta nje ya hapa maana hayo ya biashara ni ya binafsi, au? ya ugomvi ni yako mimi simo umeuliza swali nimekupa jibu!

- Samahani kwa kukukwaza!


FMEs!
 
It is not him who manages the page. I bet it is some mkereketwa or an Ikulu personel. It will be a joke if he logs in and updates his status.
there is absolutely NOTHING WRONG with that, there is no restriction of presidents into facebook, that's his personal life he choses to interact what is your problem? let him be !
real minds discuss facts, small minds discusses people!!
 
Kwani hata akija hapa JF mtamwandama jamani?Hongera kaka Kikwete...mbona kina Dr W Slaa,Kina Zito na wengi tuu wako hapa JF?one day they can be like kikwete presdaa je mtawasema pia kuwa wako kwa JF?hii ni blog la wasomi jamani na sasa ni sela za mitandao tuu..keep it up broda Kikwete tena weka na picha kibao za udogoni mkubwa..hata kama hi5 yumo bravo tuuu...

Na inawezekana ni mwanaJF tena wa kitambo.Labda ni Magulumangu? who knows?
 
Yeye ametengenezewa Fans Page. Lakini kuna viongozi wengine wa kisiasa wanaProfile kabisa na wanaandika kama Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, John Mnyika, Antoni Diallo nk

serayamajimbo
 
mkuu....
una urafiki na marais wangapi???????


Inaelekea ana marafiki marais wengi tu kwa sababu ya uzoefu wake; na ndio maana na yeye alikuwa anautafuta!! FMES usikate tamaa age is just a number. KAZA BUTI!! After all unakwenda na wakati kwani upo mpaka kwenye face book!
 
Fun page sio profile, sawa!, yawezekana wengine wakawa wanai administer na isiwe yeye nk (sawa), Lakini je, mwenyewe anajua kuwa kuan FB yake ipo active kuliko Tovuti ya Taifa wala Blogu ya Ikulu yake?
 
Haina neno, kibaya ni kuitumia visivyo tu! Kwangu mimi naona imesimama kikubwa!
 
Ni Njia nzuri ya kufanyia kampeni pia!....technology everywhere watu than kutegemea tv na radio!...watu siku hizi wana spend time online...smart Move mr President...i am your number one supporter!...Bravooo!..tena ngoja niombe friend request!....
samahani bint Maringo, hako kapicha kako mmmhhh, unaweza kunitumia hiyo picha ikiwa kwenye ukubwa wake halisi?
 
iko kazi hapa na wewe GT mpaka umeikuta huko ulikuwa unatafuta nini?
 
Kuwa kwenye Facebook best ni kitu cha kawaida manake ni mtandao wa jamii. Watu wengi mashuhuri wako ndani ya facebook. Kina Papa Benedict vi, Obama, jaques shirak. Tatizo ni kuandika data za uongo eti yuko kwenye relationship na Mama salma,ni kweli lakini nini uhakika anao wengi!
 
Ina makosa kama: (the Chairperson of the African Union (AU))
 
Sio mbaya at all si naye ni human being na yapo yanayomsibu kibinaadamu, pia kuchati na jamaa zake walokuwa wakiruka dansi la sikinde enzi hizo, jamaa zake wa bwagamoyo pindi wakiwinda kanga na hata walipokuwa wakila embe! yah! its good for a president of kizazi kipya to do what kizazi kipya believe in! but he must handle it with care coz he is the president but obviously his care is at mult maximum, no worry Jk just jirelease!
 
Back
Top Bottom