Facebook page ya JK

Facebook page ya JK

Nini haja Mhe. Rais kuwa kwenye Facebook ?..
Kha jamani naye ni binadamu na anaendana na teknolojia! Yuko karibu na watu yaani in social network tatizo lako nini? au unataka uwe na rais ambaye hajui hata kutumia computer? uanze kulalama! Mi sioni tatizo
 
Hata mimi nilitaka kushangaa but..according to my kid who is a facebook - guru at age 7! as he calls himself and happens to be Kikwete Fan on FB this is what he says:

"what you see is not a facebook profile but only a fan page!!! fan pages are not from the actual persons but from someone who is only a fan. this is what we call a POSER.....people can get deceived from such people."
by Junior...
 
Word!....
 
Si ajabu hata JF yuko, safi presdaa kwa nini Raisi wetu abakie nyuma? mwache asambaze maujanja hapo kati.
 
Thats good, nafikiri amefuata nyayo za Obama.
Tupate wasaa wa kumwandikia maoni directly kwenye wall yake. But nafikiri siyo yeye anayesoma message zinazoingia kwenye facebook. Bila shaka ana watu wanaomsomea. Pia sidhani kama anamanage kuwaona fans wake!
 
teh teh ...watakukoma mtoto wa kikwere..mwaka wako huu mpaka umalize miaka kumi walah kazi ipo
 
It is not him who manages the page. I bet it is some mkereketwa or an Ikulu personel. It will be a joke if he logs in and updates his status.
 
Hata mimi nilitaka kushangaa but..according to my kid who is a facebook - guru at age 7! as he calls himself and happens to be Kikwete Fan on FB this is what he says:

"what you see is not a facebook profile but only a fan page!!! fan pages are not from the actual persons but from someone who is only a fan. this is what we call a POSER.....people can get deceived from such people."
by Junior...

Thankas WOS, i think the society, espeacially sie tulio na ilmu chache kwenye haya mambo need a lot to learn kuhusu hizi facebook, and the likes... siku moja niliambiwa nifungue profile huko lakini nikakuta mtu ameshafungua badae wakasema ni fan or something ameweka profile

My opinion
kwanza tueleweshane zaidi kuhusu haya mafesi buk
tujue namna ya kuyatumia ipasavyo
tumpongeze kikwete kama na yeye tayari yumo mle.. and if that is the case then i am sure ni memba wa JF na anaperizi humu kiaiana
 
It is not him who manages the page. I bet it is some mkereketwa or an Ikulu personel. It will be a joke if he logs in and updates his status.

Yawezekana ni hawa hapa:

Facebook
CCM Online-Tujenge Nchi Yetu!!!!

n16510333457_4397.jpg

Information

Category:Organisations - Political Organisations
group.php?gid=16510333457
AU

n5727059945_9025.jpg

<H5 class="box_header UITitle UITitle_h5">Information</H5>Category:Common Interest - Beliefs & Causes Description:IMANI YA CHAMA
Binadamu wote ni Sawa
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru

AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

(read less)
IMANI YA CHAMA
Binadamu wote ni Sawa
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru

AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia...
(read more)
Privacy type:
 
- Facebook ni mambo ya kisasa wakuu, kuna mawaziri wetu wengi tu, kuna marais wa mataifa mengine Africa ikiwemo, binafsi nipo kule na ni majuzi tu Rais Kabila amenikaribisha kwenye forums yake on ushauri wa maendeleo ya taifa lake, haya mambo ya teknology ni mambo ya kisasa haya, saafi sana kama Rais wetu naye yumo!

- Wakuu wengine tujiunge kule pia JF ipo kule, karibuni sana tuendeleze libeneke mpaka huko ma-facebook!

Respect.

FMEs!
 
mkuu....
una urafiki na marais wangapi???????
 
mkuu....
una urafiki na marais wangapi???????

ohoooo, hivi Facebook kwa kibongo manake nini hasa....? Sometimes niliwahi kusikia hapa kuwa Ikulu ya Dar Es Salaam haina hata tovuti!
 
mkuu....
una urafiki na marais wangapi???????

- Vipi kuna sheria imevunjwa hapo? Wewe kesho ukiwa rais vipi nitavunja sheria nikisema tulikua wote zamani JF? Great Thinker vipi unasumbuliwa na mambo madogo kwani Rais ni nani mkuu si binadam tu hata wewe unaweza kuwa, au Bwa! ha! ha! ha! tuliza kitenesi mkuu1

Respect.

FMEs!
 
Ana muda wa kwenda kwenye facebook ndio sababu Chama Cha Majambazi na Mafisadi wenzake wanapeta. Hana Muda wa kushughulikia kazi za urais, lakini anapenda kula pesa ya walipa kodi.
 
Back
Top Bottom