Facebook: Sehemu pekee unapoweza kupata uhalisia wa watu

Facebook: Sehemu pekee unapoweza kupata uhalisia wa watu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
JF ni ngumu watu ni anonymous! HAWAJULIKANI! Instagram ubishoo na showoff za kumwaga! Hakuna realistic.. Yaani hakuna ukweli... Badoo ni biashara ya umalaya ushoga na usagaji...

Facebook pekee ndio tunaweza ita lango la mitandao yote.... Wageni wa mitandao huanzia Facebook.... Angalia background za picha zinabeba uhalisia, angalia aina ya lugha ni halisi..

Ndio aachojua hicho hakuna edition! Angalia picha zenyewe ni vituko tupu lakini hajafanya masahihisho yoyote kapost halisi

Tuna mada ya vituko vya Facebook.. Hii ni kwakuwa watu wana post uhalisia.. Ukiwa na muda wa kufuatilia mmoja mmoja utaona anavyobadilika kutoka kwenye uhalisia mpaka kwenye ulimwengu wa kudanganya uhalisia....
That's Facebook...!!! /utaona picha zitakazotumwa msimu huu wa sikukuu hasa kwa wale watumiaji wapya wa mitandao.

Happy Christmas!!...mwaka mpya bado. .
 
Kwanza fb kila mtu kafikaa chuo.. Hahahhaha wengine unawafaham kabisa form four alichora ila wall yake. Went at university of Dar es Salaam '[emoji27][emoji27][emoji27] na ukutaka kujua huyu kajiunga juzi lzm post itakuwa 'wadau za asubuhi or mchana au usiku ' .pia ukitaka Picha za sikukuu ingia Facebook kesho...... Kule pia ndo kuna post za share picha hii nikuad...... Na zile post za ET mimi ni mzuri jaman?... Yani ni real life plus. Ushamba..... Pia Facebook kila kinachoendelea kinaripotiwa ET jaman nipo safarini mniombee, mara tupo kijiweni na wanangu apa, aisee ukiingia uko andaa mbavu kabisa mana lzm ucheke
 
Fb nlishashindwa kuipenda ..nlishafungua akaunti nkaishia kujiondoa n app ile nkaifuta kabisa..hua kuna utoto mwingi sana huko
 
Back
Top Bottom