Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana huwa sifanyi kingine zaidi ya mtu aliye ni join mwenyewe,naweza mfahamu uhalisia wa maishs yake hata kama sijawahi kutana nae,maana siku hizi fb ni sehemu ya mtu kuanika chochote kwake,sasa kama mtu anaweza ji post akiwa haja kubwa unashindwaje kujua huyu ni mtu w namna ganiUnafanyaje?
[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hapana huwa sifanyi kingine zaidi ya mtu aliye ni join mwenyewe,naweza mfahamu uhalisia wa maishs yake hata kama sijawahi kutana nae,maana siku hizi fb ni sehemu ya mtu kuanika chochote kwake,sasa kama mtu anaweza ji post akiwa haja kubwa unashindwaje kujua huyu ni mtu w namna gani
Kila kitu kina pande mbili hasi na chanyaWengine tunapatia hela kupitia faceebook unampata mteja hadi wa kakonko,ikwiriri ndanindani kabisa halafu hawana madharau kama watu wa instagram mana mbwembwe nyingi kumbe wala vumbi tu.
Ngoja nifanye mambo kwako ifutike mazingira tatanishi[emoji3] [emoji3] [emoji3] nsha ka screen shot