Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Basi wewe hujaona utoto wa instagramFb nlishashindwa kuipenda ..nlishafungua akaunti nkaishia kujiondoa n app ile nkaifuta kabisa..hua kuna utoto mwingi sana huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wewe hujaona utoto wa instagramFb nlishashindwa kuipenda ..nlishafungua akaunti nkaishia kujiondoa n app ile nkaifuta kabisa..hua kuna utoto mwingi sana huko
Dah umenifanya nicheke [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza fb kila mtu kafikaa chuo.. Hahahhaha wengine unawafaham kabisa form four alichora ila wall yake. Went at university of Dar es Salaam '[emoji27][emoji27][emoji27] na ukutaka kujua huyu kajiunga juzi lzm post itakuwa 'wadau za asubuhi or mchana au usiku ' .pia ukitaka Picha za sikukuu ingia Facebook kesho...... Kule pia ndo kuna post za share picha hii nikuad...... Na zile post za ET mimi ni mzuri jaman?... Yani ni real life plus. Ushamba..... Pia Facebook kila kinachoendelea kinaripotiwa ET jaman nipo safarini mniombee, mara tupo kijiweni na wanangu apa, aisee ukiingia uko andaa mbavu kabisa mana lzm ucheke
Mkuu hapa imeongelewa FB nko ndani ya mada...ikiletwa maada ya IG ntachangia kwa namna yake pia...usku mwemaBasi wewe hujaona utoto wa instagram
mkuu Id yako inanikoshaHata wewe mzee wangu mshana kule facebook hata haupost mambo yetu yalee....!
Sahihi kabisa,fb pana soko kubwa na la maana kuliko jfNa ni mtandao japo watu wanaona wakishamba Ukiwa serious na biashara ya mtandao ni rahisi kupata wateja tofauti na mitandao mingine ya kijamii.
Dah....FBI project[emoji87]Jitahidi uwe nayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza fb kila mtu kafikaa chuo.. Hahahhaha wengine unawafaham kabisa form four alichora ila wall yake. Went at university of Dar es Salaam '[emoji27][emoji27][emoji27] na ukutaka kujua huyu kajiunga juzi lzm post itakuwa 'wadau za asubuhi or mchana au usiku ' .pia ukitaka Picha za sikukuu ingia Facebook kesho...... Kule pia ndo kuna post za share picha hii nikuad...... Na zile post za ET mimi ni mzuri jaman?... Yani ni real life plus. Ushamba..... Pia Facebook kila kinachoendelea kinaripotiwa ET jaman nipo safarini mniombee, mara tupo kijiweni na wanangu apa, aisee ukiingia uko andaa mbavu kabisa mana lzm ucheke
kuna utoto zaidi ya huku JF kwenu mnakoandika mara papuchi mara kugegeda mara kibumbuFb nlishashindwa kuipenda ..nlishafungua akaunti nkaishia kujiondoa n app ile nkaifuta kabisa..hua kuna utoto mwingi sana huko
Kumbe Mshana ni "Dingi"...?Hata wewe mzee wangu mshana kule facebook hata haupost mambo yetu yalee....!
Instagram na mengineoSahihi kabisa,fb pana soko kubwa na la maana kuliko jf
Dah...unaogopa Prof? Ila ndiyo ukweli.....mnajaza details zenu .....wenzenu wanauza[emoji14] [emoji87][emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] acha izo
mbona kama nilikuonaHuo ndo mtandao nilishashindwa kujiunga kabisa kwa story zake tu huwa sina hamu nao hata kujua unafanyaje kazi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]mkuu Id yako inanikosha
bila shaka we n mrombo
ukundi sana sumbai lae?
hahaha[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Unafanyaje?mi huwa nikitakaga kujua exactly tabia na uhalisia wa mtu huwa namtafuta facebook
I was there lakini nikaona mambo yalojaa huko hayaelekei kuwajenga watu zaidi ya usanii usanii.Huo ndo mtandao nilishashindwa kujiunga kabisa kwa story zake tu huwa sina hamu nao hata kujua unafanyaje kazi.