Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

Watu wa Mbeya watajidai sana. Hilo ni jina la Kinyakyusa.

Meta Secondaey....Kituo cha wazazi Meta vyote vipo Mbeya.
 
Watu wengi bado hawajaelewa sijui kutokufuatilia au lugha tatizo. Facebook wamebadili tu jina la kampuni mama inayomiliki Facebook, instagram, whatsapp nk ila hayo brands zake zitabaki hivyo hvyo.
Hii sio geni ata Google walishawahi kufanya hii kitu na kuunganisha makampun yake yote chini ya Alphabet
 
Webadili jina la kampuni nyuma ya brand ya Facebook sio Facebook name kama brand.

Yaani mfano wake ni kama Bonite bottlers wabadili jina lao ila product zao yaani Coca-cola, Kilimanjaro water, fanta,stone tangawizi etc zibakie the same name.

Mkuu lugha kwa upande mwingine n changamoto
Ila wengi watakuw wameelew sas kwamb kilichobadilishw ni trade mark na co products names
 
Dah unawalisha watu matango machanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamebadili jina la company
 
Tatizo ni kusoma kichwa cha Habari tu bila kusoma kwa undani, na mleta Mada naye Kaitoa huko aliko itoa bila kuelewa anaileta hapa.piga barn kabisa mzushi huyo
 
Jina baya Facebook ilikuwa more better
Masikini hata hujui unachoongea.

Metaverse imeundwa kuzibeba kampuni zote zikiwemo Facebook yenyewe, whatsapp, Instagram na MySpace.

Facebook haijabadilishwa jina, bali kampuni mama ndio imebadilishwa jina.
 
Mfano ukitaka kumuuliza mtu unauliza hivi "akaunti yako ya meta unatumia jina gani" imekaa kimangi yani haina hata swaga

Masikini hata hujui unachoongea.

Metaverse imeundwa kuzibeba kampuni zote zikiwemo Facebook yenyewe, whatsapp, Instagram na MySpace.

Facebook haijabadilishwa jina, bali kampuni mama ndio imebadilishwa jina.
 
Naona sehemu nyingi watu wanadhani kwamba facebook.com au app ya facebook itabadili jina, LA HASHA!!

Niwawekee usahihi kwamba facebook ina sehemu mbili, Sehemu ya kwanza ni hii huduma ambayo tumezoea kuitumia kwenye simu zetu, Sehemu ya pili facebook ni kampuni ambayo inamiliki bidhaa ya kwanza niloyoitaja hapo juu tuliyoizoea , instagrama na Whatsapp.

Kwa hio kitu pekee kitachobadilika ni hilo jina la kampuni (facebook company) na itaitwa Meta Company, mabadiliko haya yatafanyika bila kuathiri majina ya huduma zake kuu tatu ambazo ni facebook, instagram na whatsapp.
 
Back
Top Bottom