Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

Metaverse.
 
 
Masikini hata hujui unachoongea.

Metaverse imeundwa kuzibeba kampuni zote zikiwemo Facebook yenyewe, whatsapp, Instagram na MySpace.

Facebook haijabadilishwa jina, bali kampuni mama ndio imebadilishwa jina.
Ndio naelewa ila Hilo jina tu lilivo. Hafu hii monopoly ya mtu mmoja ku hold mitandao mikubwa ni hatari I wonder watu wa IG hawakufikiria mbele na kuuza huo mtandao IG iliipoteza Facebook umaarufu wake Ndio maana Mark akaamua kuinunua kisa hela.
 
Umeeleweka vyedi
Webadili jina la kampuni nyuma ya brand ya Facebook sio Facebook name kama brand.

Yaani mfano wake ni kama Bonite bottlers wabadili jina lao ila product zao yaani Coca-cola, Kilimanjaro water, fanta,stone tangawizi etc zibakie the same name.
 
Huku kwetu kuna sehemu inaitwa Mateves
 
Kwenye maelezo ni kwamba Facebook itabaki kuwa facebook, instagram itabaki hivyo, Whatsapp itabaki hivyo.

Kilichobadilika ni ni kampuni mama inayomiliki hizo social networks 3 (Whatsapp, Facebook na instagram).

Kwa hiyo tusitegemee kwamba facebook itabadilika jina.
 
Yule mfanyakazi wa zamani wa Facebook alietoa siri na kuikashifu kampuni hiyo naona ndio sababu ya kubadili jina

Maana ukisoma habari inasema

The move follows a series of negative stories about FB, based on documents leaked by an ex-employee
Huyo mama kaimaliza FB kwa kusema wanaweka maslahi ya faida kuliko safety

Halafu hilo jina ni neno la Kigiriki na sio kama mkalimani alivyotulisha
Meta- Beyond
 
Masikini hata hujui unachoongea.

Metaverse imeundwa kuzibeba kampuni zote zikiwemo Facebook yenyewe, whatsapp, Instagram na MySpace.

Facebook haijabadilishwa jina, bali kampuni mama ndio imebadilishwa jina.
Hata kama sijui kitu ndo unizodoe si unieleweshe tu sijapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…