Mi nilishangaa chadema wanaacha kumsikiliza mtu aliyewatoa mbali Dr. Slaa wakamsikiliza mshenga
Kila anayefikiria mabeberu Hana akili sawasawa. Tuna madaktari wasipokuwa na elimu, kwa kujifanya Kujua Sana wakati hatuna KITU.Awe alisema akiwa hamaanishi alichokuwa anakisema, Ila ukweli hapa Mabeberu wamechemka Kwa mbinu zao za kutaka kuona Africa inakuwa sehemu ya misiba Kwa Covd 19
Tunachojua mdee atafute kazi nyingineBaada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.
Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Hawakomi hawa kutafuta kikiBaada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.
Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Jihadharini sana na mtu huyu.Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.
Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Jumbe za wapumbavu pumbavu wote Kama Gwajima zinatakiwa kufutwa.Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.
Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Mahaba yatakuuwa.Awe alisema akiwa hamaanishi alichokuwa anakisema, Ila ukweli hapa Mabeberu wamechemka Kwa mbinu zao za kutaka kuona Africa inakuwa sehemu ya misiba Kwa Covd 19
Facebook wameanzisha kanuni mpya ya kufuta, kufunga akaunti zote za propaganda na uzushi. Lakini usidhani ukimzushia mtu baki watafunga ila kwa suala la COVID ni issue ya kimataifaukiona hivo ujue kipindi hiki mabeberu yameshikwa makalio, kama si kweli kwa nini wahangaike na ujumbe wa kipuuzi?