Facebook wafuta uzushi wa askofu Josephat Gwajima kuhusu COVID 19 aliokuwa ameuandika kwenye ukurasa wake ndani ya mtandao huo

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
Screenshot_20200710-181323_Twitter.jpg
 
Afadhali ujinga wake usizidi kupotosha wengine.
 
Awe alisema akiwa hamaanishi alichokuwa anakisema, Ila ukweli hapa Mabeberu wamechemka Kwa mbinu zao za kutaka kuona Africa inakuwa sehemu ya misiba Kwa Covd 19
Kila anayefikiria mabeberu Hana akili sawasawa. Tuna madaktari wasipokuwa na elimu, kwa kujifanya Kujua Sana wakati hatuna KITU.
 
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Tunachojua mdee atafute kazi nyingine
 
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Hawakomi hawa kutafuta kiki

Jr[emoji769]
 
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Jihadharini sana na mtu huyu.
 
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.

Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
View attachment 1502995
Jumbe za wapumbavu pumbavu wote Kama Gwajima zinatakiwa kufutwa.
 
ukiona hivo ujue kipindi hiki mabeberu yameshikwa makalio, kama si kweli kwa nini wahangaike na ujumbe wa kipuuzi?
Facebook wameanzisha kanuni mpya ya kufuta, kufunga akaunti zote za propaganda na uzushi. Lakini usidhani ukimzushia mtu baki watafunga ila kwa suala la COVID ni issue ya kimataifa
 
Back
Top Bottom