Facebook ya sasa imejaa matapeli, madanga na waganga wa kienyeji tu

Facebook ya sasa imejaa matapeli, madanga na waganga wa kienyeji tu

abdulhamis shida boss kukuza page,ulilipa sh ngap kupata likes za kutosha?
 
Nilituma request nyingi ili nibadili acc juwa page sasa yamenikuta hayo
Ukifuata sheria na taratibu ni less likely kukutana na tatizo. Tatizo likitokea ni imani limekuja kimakosa.

Facebook ina Kurasa/Pages ambazo ni bure kufungua kama mhusika hata biashara, kampuni au shirika.

Yes, Personal account inaweza kuwa Page. Je wewe unaoushawishi au umejijengea jina? Kurasa binafsi inakubali followers pia hii inamaana unakuwa na marafiki/familia lakini followers katika layer nyingine.

Ninae rafiki anaitwa Matt Navarra huyu anatumia verified personal account, kutokana na ushawishi alionao watu humtafuta na kumfuata. Sina hakika lakini hata uncle Max Melo kwa facebook anatumia personal account yenye wafuasi wengi.

Kama ushawishi unao basi utafuatwa, kama bado unaweza kutumia kurasa rasmi kuattract.
 
abdulhamis shida boss kukuza page,ulilipa sh ngap kupata likes za kutosha?
Hua Wana charge mpaka dola 20 mpaka 50na kuendelea kwa siku Sita au tano pia ili upate like hata kama umelipia sponser ni lazima group liwe na mvuto au ushawish bila ivyo utakuja kuanzisha uzi kua Facebook wamekuibia hela yako na nimatapel
 
Hivi huwezi kuwa na page bila group?
 
Facebook kumbe bado ipo?
Kaka, Facebook ipo na bado inazidi kuongeza mazingira wezeshi ya kuunganisha jamii na kuwa njia ya kiuchumi.

Facebook ya sasa inayo Facebook Marketplace, Facebook Business, Facebook Gaming, Facebook For Devs. na kubwa zaidi ni Facebook Integrate / Partner Program.
 
Unaweza kua na page bila group pia unaweza kua na group bila page na pia unaweza ukawa navyo vyote kwa pamoja Tena kwa Jina moja
Sawa, mzee sijawah kuuza kitu facebook sijui nina gundu gani. JF inenipa pesa sana lakink fb mpaka nimeichoka
 
Sawa, mzee sijawah kuuza kitu facebook sijui nina gundu gani. JF inenipa pesa sana lakink fb mpaka nimeichoka
Onaona Sasa mimi mwenyewe Leo ndio najua kua jamiforums mnaingiza hela na wala sijui mnaingiza vip
 
Onaona Sasa mimi mwenyewe Leo ndio najua kua jamiforums mnaingiza hela na wala sijui mnaingiza vip
🤣🤣🤣🤣 Biashara uhakika ni huku,ila ngoja nifanyie kaz ushauri wako. Naweza ku unfriend hao waganga kwa pamoja?
 
duh hivi kuna watu mpaka leo bado mpo active facebook?. mara ya mwisho ku-post, ku-like na ku-comment ilikuwa mwaka 2015.

facebook umebaki kuwa mtandao wa watu washamba, watu wenye elimu duni na watu wanakosea spelling.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Biashara uhakika ni huku,ila ngoja nifanyie kaz ushauri wako. Naweza ku unfriend hao waganga kwa pamoja?
Mana sion hata Wateja umu mana wamejaa kina bia yetu [emoji1787]
 
duh hivi kuna watu mpaka leo bado mpo active facebook?. mara ya mwisho ku-post, ku-like na ku-comment ilikuwa mwaka 2015.

facebook umebaki kuwa mtandao wa watu washamba, watu wenye elimu duni na watu wanakosea spelling.
Kwakua Facebook Hawa edit picha ndiomana mnekimbia ila ungejua kua Facebook ndio mtandao mama wa mitandao yote ungekaa kimia
 
duh hivi kuna watu mpaka leo bado mpo active facebook?. mara ya mwisho ku-post, ku-like na ku-comment ilikuwa mwaka 2015.

facebook umebaki kuwa mtandao wa watu washamba, watu wenye elimu duni na watu wanakosea spelling.
Ndio mtazamo wangu kwa sasa hata mm
 
Dingi mmoja alikua ana follow haya ma group ya kimalaya,sasa unakuta kahaba ameandika kama umependa chura hii comment YES jamaa ana connent,kama utapenda malaya wanaotoa kwa mlalange LIKE na andika No. Yako ya simu,jamaa anaenda kwny comment anaandika.

Siku 1 nikamuuliza hivi bro unajua unayofanya ni ujinga?jamaa akajibu ujinga kivipi?Nikamwambia yote unayofanya ya ku like hayo ma group,ku comment no. Yako yanaonekana hadharani?Akanijibu duh nilikua najua nayafanya imbox/anayeona ni mimi na hao wahusika tu kumbe kila mtu anaona?Nitaweka wapi mimi sura yangu maana humo fb nina mashemeji zangu,ndg zangu ninaoheshimiana nao?Alijitoa huko mitandaoni tangu 2018 mpk leo.
 
Hata mm nina mjomba wangu nae ali
Dingi mmoja alikua ana follow haya ma group ya kimalaya,sasa unakuta kahaba ameandika kama umependa chura hii comment YES jamaa ana connent,kama utapenda malaya wanaotoa kwa mlalange LIKE na andika No. Yako ya simu,jamaa anaenda kwny comment anaandika.

Siku 1 nikamuuliza hivi bro unajua unayofanya ni ujinga?jamaa akajibu ujinga kivipi?Nikamwambia yote unayofanya ya ku like hayo ma group,ku comment no. Yangu yanaonekana hadharani?Akanijibu duh nilikua najua nayafanya imbox/anayeona ni mimi na hao wahusika tu kumbe kila mtu anaona?Nitaweka wapi mimi sura yangu maana humo fb nina mashemeji zangu,ndg zangu ninaoheshimiana nao?Alijitoa huko mitandaoni tangu 2018 mpk leo.
Bugi hivyo hivyo ilikua 2016 kipindi mm sipo,kuja kugundua aliniomba nimfutie acc yake
 
Kwenye hii mitandao ya kijamii utakutana na yale unayoa yatafuta ukitafuta habar za michezo utazipata, ukifata Malaya utakutana nao ukifata ushirikina utakutana nao, baaiashara pia utafanya fesibuku nimeadd watu wa michezo Sana tunaopiga stori za mpira na wanao post sana habari za michezo hao ndo Aina ya rafiki nilio chagua kuwa nao hivyo nikiingia tu nakutana na watu zaidi ya 100+ ambao wapo active hatujawahi kukutana wala kuonana sura ila utani wa mpira umetuunganisha japo siuoni Sana umuhimi wa fesibuku kwa Sasa ni sehem nayo tumia kujifurahisha tu naweza kuingia Mara mbili kwa mwezi huko
 
Endelea kujidanganya hivyo hivyo

Back
Top Bottom