Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wewe ni mganga?
Kupitia Facebook naingiza Milion 3kwa mwezi Sasa wewe endelea kubeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia Facebook naingiza Milion 3kwa mwezi Sasa wewe endelea kubeza
Fb, instaFacebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni
1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments)
2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana)
3. Wadangaji fake (Wabongo sana)
4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo)
Sioni faida ya Facebook tena, siku 7 tu toka niingie nimechati na waganga zaidi 200, matapeli zaidi ta 100 (wengi wa SA), madanga zaidi ya 50.
Yani mpaka sasa sioni mtu anaeongea cha maana tofauti na marafiki wachache ninaojuana nao au mashirika ya habari tu.
Unaipendea nini facebook?
Mbona unateseka bure .Ndio mtazamo wangu kwa sasa hata mm
NiceKwenye hii mitandao ya kijamii utakutana na yale unayoa yatafuta ukitafuta habar za michezo utazipata, ukifata Malaya utakutana nao ukifata ushirikina utakutana nao, baaiashara pia utafanya fesibuku nimeadd watu wa michezo Sana tunaopiga stori za mpira na wanao post sana habari za michezo hao ndo Aina ya rafiki nilio chagua kuwa nao hivyo nikiingia tu nakutana na watu zaidi ya 100+ ambao wapo active hatujawahi kukutana wala kuonana sura ila utani wa mpira umetuunganisha japo siuoni Sana umuhimi wa fesibuku kwa Sasa ni sehem nayo tumia kujifurahisha tu naweza kuingia Mara mbili kwa mwezi huko
Sasa unauza kitu faida umeweka 5000 utalipia tangazo 2$ ? Na huna uhakika wa kuuzaMbona unateseka bure .
Cha kufanya Fungua Facebook page business page ,Kisha lipia Facebook ads hayo Ni matangazo ya kulipia , haijalishi idadi ya walio like page au vipi . Matangazo yatapostiwa kulenga wateja unaotaka wewe utapewa namna ya kuchagua pale . Unaweza kuanza hata na dollar 1 kwa siku Kama kutest uone inavyokua . Tena unaweza kuilink na Instagram page yako na WhatsApp business .
Cha msingi pekua humu Jf hasa jukwaa la biashara Kuna watu wameelezea vizuri tu kuhusu Facebook & Instagram Ads inavyofanya kazi . Au ingia YouTube pia uangalie live Jinsi ya kufanya .
Kwa maswali yako yote humu inaonekana hujawahi kutumia hizi online ads kabisa kabisa. Nenda kwenye hizo nyuzi ulizoambiwa jukwaa la biashara.Sasa unauza kitu faida umeweka 5000 utalipia tangazo 2$ ? Na huna uhakika wa kuuza
Bila faida? Natumia sana lakini hesabu muhimuKwa maswali yako yote humu inaonekana hujawahi kutumia hizi online ads kabisa kabisa. Nenda kwenye hizo nyuzi ulizoambiwa jukwaa la biashara.
Unalilia dola 2 wakati nina jamaa hapa anaweka laki saba kwa mwezi kwenye ads pekee.
Ongeza wanafunzi wa shule za msingiFacebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni
1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments)
2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana)
3. Wadangaji fake (Wabongo sana)
4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo)
Sioni faida ya Facebook tena, siku 7 tu toka niingie nimechati na waganga zaidi 200, matapeli zaidi ta 100 (wengi wa SA), madanga zaidi ya 50.
Yani mpaka sasa sioni mtu anaeongea cha maana tofauti na marafiki wachache ninaojuana nao au mashirika ya habari tu.
Unaipendea nini facebook?
Bila ads unauza kwa rate gani na baada ya kutumia ads unaongezeka kiasi gani. Kuna uwezekano hulengi target halisi.Bila faida? Natumia sana lakini hesabu muhimu
Washamba wote fb ndio lango LaoFacebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni
1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments)
2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana)
3. Wadangaji fake (Wabongo sana)
4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo)
Sioni faida ya Facebook tena, siku 7 tu toka niingie nimechati na waganga zaidi 200, matapeli zaidi ta 100 (wengi wa SA), madanga zaidi ya 50.
Yani mpaka sasa sioni mtu anaeongea cha maana tofauti na marafiki wachache ninaojuana nao au mashirika ya habari tu.
Unaipendea nini facebook?
Nahitaji kufahamu hichi kitu kwa undani mkuu..Naingiza hela kwenye Facebook kwa groups na page pia naitaji watu smart hata kama ni wachache pia sio kwamba hela inaingia Facebook kwa sababu Nina page tu na group hapana Kuna jambo lingine unatakiwa ufanye nalo ni lazima ue na Biashara mkuu Facebook Kuna Biashara nyingi Sana Sema wewe ulipo jiunga Facebook ulianza kuwatafuta ndugu zako na Baadh ya master fake wa Facebook ndiomana unakumbana na io Hali
Mimi kwa mwezi nailipa Facebook shilingi 128000za kulipia Adds za matangazo yangu na kutafuta watu wa eneo husika ninalo li target
Jaman ngojeni niwaweke Sawa Facebook siuz nguo wala Madera kama mna mpango wa kulipia sponser kwa biashara izo siwashaur ukitaka upate hela na uone faida ya adds ni lazima ue unafanya intanational business mbona biashara Zipo nyingi mfano biashara ya maua, asali, karanga nk Facebook Kuna soko kubwa Sana Sema mmekalili Facebook ni mtandao wa washambaBila ads unauza kwa rate gani na baada ya kutumia ads unaongezeka kiasi gani. Kuna uwezekano hulengi target halisi.
Kama unatumia ads na hupati faida hama platform ila kaa ukijua watu wenye hela wengi hawako Facebook, kule kuna bidhaa flani ndio zinauzika hivo ukiuza za gharama mfano furniture usitegemee maajabu.
Asante kwa kugusa kionjo hichoJaman ngojeni niwaweke Sawa Facebook siuz nguo wala Madera kama mna mpango wa kulipia sponser kwa biashara izo siwashaur ukitaka upate hela na uone faida ya adds ni lazima ue unafanya intanational business mbona biashara Zipo nyingi mfano biashara ya maua, asali, karanga nk Facebook Kuna soko kubwa Sana Sema mmekalili Facebook ni mtandao wa washamba
Kwa taarifa yako Facebook ndiyo mtandao wa kijamii namba moja kibiashara hapa duniani, watu wanapiga pesa..Kama huna biashara huwezi kulijua hiloFacebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni
1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments)
2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana)
3. Wadangaji fake (Wabongo sana)
4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo)
Sioni faida ya Facebook tena, siku 7 tu toka niingie nimechati na waganga zaidi 200, matapeli zaidi ta 100 (wengi wa SA), madanga zaidi ya 50.
Yani mpaka sasa sioni mtu anaeongea cha maana tofauti na marafiki wachache ninaojuana nao au mashirika ya habari tu.
Unaipendea nini facebook?
Wewe uliombwa ujoinFacebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni
1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments)
2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana)
3. Wadangaji fake (Wabongo sana)
4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo)
Sioni faida ya Facebook tena, siku 7 tu toka niingie nimechati na waganga zaidi 200, matapeli zaidi ta 100 (wengi wa SA), madanga zaidi ya 50.
Yani mpaka sasa sioni mtu anaeongea cha maana tofauti na marafiki wachache ninaojuana nao au mashirika ya habari tu.
Unaipendea nini facebook?
Jamaa wa TikTok wanakoshiriki challenge huyu hawezi kukuelewa. Mimi nikitaka kununua kitu used naingia Facebook, kama juzi hapa nimenunua kibanda cha chuma uko. Vitu vingi hasa used utauza kule hasa kama simu na laptop.Kwa taarifa yako Facebook ndiyo mtandao wa kijamii namba moja kibiashara hapa duniani, watu wanapiga pesa..Kama huna biashara huwezi kulijua hilo
Facebook imekuwa Kama Google, mtu akihitaji bidhaa flani anaingia Facebook kuangalia wauzaji katika eneo husika
Tumeelewana?
Kwakua Facebook Hawa edit picha ndiomana mnekimbia