FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

Nami nakuuliza wewe mleta hoja umetumwa nanani. Maana hoja zako zinaegemea upande flani halafu . nawe jiulize kwanini Roma alipotekwatu police wakawahi kusema wananchi wasiseme kua serikali ndo inahusika na utekaji huo?, pia kauri ya kamanda wapolice ambaye anadhamana ya kufuatilia utekaji na kesi hii alisema hajui Roma alipo na anaendelea kufanya uchunguzi pia hawezi kuahidi nisiku gani Roma ange patikana . akawaambia wandishi kua kama kunkiongozi ametoa ahadi ya kupatikana kwa Roma wakamuulize yeye. Swali hufikiri kua Roma alitekwa na viongozi wako waliokutuma nakumuachia baada ya muda waliotoa "kabla ya jumapili angepatikana"?
 
Watetezi wa Daudi bashite muogopeni mungu kidogo muache kuleta story ndefu JF zenye maneno yasiyo na tija mnajidai kutetea uovu kwa kutengeneza story ndefu sana ili kuharalisha utetezi wake alafu akachukue pesa kwa bashite ni Aibu kubwa kuamua kuwasingizia watu waliotekwa kuwa wamejiteka wenyewe.
 
KUTEKWA NI KUTEKWA.

NDEGE ZA WAMAREKANI WABABE WA MITUTU DUNIANI ZILITEKWA NA WATU WENYE BOX CUTTER TU.

WEWE SIJUI KWA KUJIHISI UKO LEVEL YA KACHERO WA SCOTLAND YARD UNALETA ANALYSIS YA MKIA WA MBUZI?

UMEANDIKA UPUUZI.

 
Kamanda Sirro Azungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Sakata la Msanii Roma

MPEKUZI / 2 days ago

[https://4]

Msanii wa hip hop Roma Mkatoliki alikamatwa April 5 usiku ambapo taarifa zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii kuwa alikamatwa studio za Tongwe Records na watu wasiojulikana akiwa na wenzake na wakapelekwa kusikojulikana.


Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo asubuhi kuhusukutekwa kwa msanii huyo na wenzake, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro alisema kuwa hawezi kusema ni lini wasanii hao watapatikana kwani ni hadi pale upelelezi wanaouendesha utakapokamilika.

Sirro alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyekuwa akiuliza kuhusu lini wasanii watapatikana kufuatia kauli ya Mkuu wa Mkoa aliyoitoa jana kuwa hadi Jumapili wasanii hao watakuwa wamepatikana.


==>Haya ni mambo machache aliyoyazungumza

“Matukio ya utekaji hayajaanza leo, yamekuwepo na tukafanyakazi tukapata majibu. Tukio hili la kutekwa wasanii ni la kawaida.

“Tukio hili la utekaji ni kama matukio mengine ya uhalifu ambayo tumeyashungulikia, hatuwezi kusema hali mbaya kwa tukio hili.

“Mimi ni Kamishna wa Polisi siwezi kusema wasanii watapatikana lini, kama kuna kiongozi alitaja siku watakayopatikana, muulizeni yeye.

“Upelelezi ndio utakao amua hawa watu watapatikana lini. Tunafanya kazi kufuata taaluma ni si kutoa maneno tu.

“Wanaosema simu ya Roma ilikuwa inapatikana na kuhoji kwanini hatukwenda TCRA, wasitufundishe kazi, wamejuaje hatukwenda TCRA?

“Wengine walalamika wasema leo ni siku ya tatu tumechelewa kutoa majibu walipo, wajue majibu ya polisi kuuawa tulipata baada ya mwezi mmoja.

“Hawa watu hawakuja kuniambia kuwa Kamishna Sirro sasa tunakwenda kuwateka, kwamba ninajua walipo lakini sitaki kuwakamata."


==>

FANANISHA NA HII PIA YA MAKONDA KISHA UTWAMBIE NANI KAKUTUMA



Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Aahid Msanii Roma Atapatikana Kabla ya Jumapili Hii

MPEKUZI / 2 days ago

[https://2]

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, ameahidi Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wengine wawili watapatikana Jumapili hii baada ya wasanii hao kutekwa na watu wasiojulikana Jumatano hii wakiwa Tongwe Record.


Alisema hayo jana akiwa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam, muda mchache baada ya kutembelewa na wasanii ambao walimtaka mkuu huyo kuwasaidia kupatikana kwa wasanii hao.


Akiongea na waandishi mbele ya wasanii hao, RC Makonda alisema kila mtanzania ana nafasi ya kumtafuta Roma na wenzake kwa kuwa hakuna anayejua watu hao wako wapi.


“Natoa pole kwa ndugu pamoja na marafiki, hakuna mtu ambaye anaweza kupotelewa na mtu akawa na furaha na bahati mbaya tunahangaika kujua wapi waliko. Nitumie fursa hii kuwaambia wananchi wa mkoa wa Dar es salaam kwamba tunapopotelewa na ndugu zetu katika mazingira ambayo hatuyafahamu sio wakati ya kuyarusha rusha maneno na kufika hatua tunapoteza ushahidi,” alisema RC Makonda.


Alisema tayari ameliagiza jeshi la polisi kufuatia suala hilo kwa ukaribu zaidi ili kupata ufumbuzi mapema huku akiahidi mpaka Jumapili hii watu wao watakuwa wamepatikana.
 
KUTEKWA NI KUTEKWA.

NDEGE ZA WAMAREKANI WABABE WA MITUTU DUNIANI ZILITEKWA NA WATU WENYE BOX CUTTER TU.

WEWE SIJUI KWA KUJIHISI UKO LEVEL YA KACHERO WA SCOTLAND YARD UNALETA ANALYSIS YA MKIA WA MBUZI?

UMEANDIKA UPUUZI.
Watetezi wa Bashite wengi ni washamba sana
 
Unaona hadhi yaJukwaa imeshuka pale unapoona kilichopostiwa hukipendi....
 
Hii movie siyo ya kihindi tena bali ya kiarabu!!

Naomba jamani, nami waniteke ili wanipe nguo mpya maana , pasaka hii home hakuna hela Yaani tunasoma namba za Kichina kwa sasa.🙂😀
 
KUTEKWA NI KUTEKWA.

NDEGE ZA WAMAREKANI WABABE WA MITUTU DUNIANI ZILITEKWA NA WATU WENYE BOX CUTTER TU.

WEWE SIJUI KWA KUJIHISI UKO LEVEL YA KACHERO WA SCOTLAND YARD UNALETA ANALYSIS YA MKIA WA MBUZI?

UMEANDIKA UPUUZI.

Aiseeeeh, angalia utamuua ndugu yetu siyo kwa kumchamba huko daaah,!!
 
Nipenda sana uchambuzi wako Tusubiri maelezo ya mtekwaji Today is Monday
 
Unaona hadhi yaJukwaa imeshuka pale unapoona kilichopostiwa hukipendi....

Boss twahil kwa akili yako unaona hii habari ime balance? Acheni U Chama, wekeni maslahi ya Taifa. Au kwa sababu waliotekwa sio Ndugu, Kaka au Mdogo wako?
 
Who s next!
Yakikufika ndo utaelewa kuwa huwa wanajiteka au vp
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.

 
Naona mnajitahidi kutupoteza mawazo ya kuwa ROMA alitekwa... mnataka kutuaminisha kuwa alikua ameenda kufanya mipango ya kazi... kama ni mipango ya kazi kwann alirudi anachechemea, au pia mtasema alianguka jukwaan akiwa anaperform????
Achen izo mambo
 
Hakuna inayo mchukiza Tshirt na jeans, aliporudi mavazi meusi. Ngoja tumsikie leo.
 
UVCCM awamu hii mpaka mtaokota makopo barabarani kwa uwehu wa kuitetea CCM na serikali yenu. Poleni sana. Mtapukutika mmojammoja maana hao mnaowatetea hawana hata dalili ya kujirekebisha ili kuwatia moyo. Poleni sana
 
Kazi sana kujua wasanii na wanasanaa, KOFFI OLOMIDE aliwai kujitangaza kama amefariki dunia, lakini pia wapo wasanii waliwai kutekwa. HAPA KAZI KUTOFAUTISHA TUI LA NAZI NA MAZIWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…