Ata useme kunyaland,twajua Nani ndio mabingwa katika ukanda wa mashariki. Wajua Kodi ninayolipa kwa mwezi ni mshahara wako wa mwaka mzima?
Babu,nangoja data..la sivyo itabidi umefyata Domo lako
Nijihangaishe yann?!
We unajua nimeamka saa ngapi!?
Hii inaonekana kenya mkiamka kitu cha kwanza kushika sim.
Mm nimeamka since dawn nikafanya yangu nikagawa majukumu asa nimetulia.
Ww kahangaike upate hela ya kodi ya kibanda cha kibera kule maana mm sijapanga nina nyumba.
Wafanya kazi katika ujamaa villages?Ni mpumbavu tu wa maisha anayeweza kujisifia ulipaji kodi kubwa katika nyumba aliyopanga.
Kijana watu tz ni baba wenye nyumba,ww unajisifia ulipaji kodi mkubwa!!!!
Kweli ww mkenya halisia na nahisi wewe kalenjin kwa hizi sifa za kiduwanzi.
Failed state. Uchumi halisi ni huu hapa.failed what?
Kenya's Central Bank Governor expects 5.8% GDP growth in Q2 2019.
Kenya's Central Bank Governor expects 5.8% GDP growth in Q2 2019. Key indicators; manufacturing & tourism sectors. Full MPC Briefing;www.jamiiforums.com
Failed state. Uchumi halisi ni huu hapa.
View attachment 1215666
Wajua Mambo kuhusiana na siasa?
Ama let link inayoonyesha watu waliokufa kwa njaa
Rudi upalilie mihogo katika ujamaa village Kama hauna data
Hapo vipi?Failed state. Uchumi halisi ni huu hapa.
View attachment 1215666
Pia wewe wapalilia mihogo katika ujamaa village?
Dah! Mbona nyie wapenda mihogo ivo?
Leta data inayoonyesha kuwa mikoa mitatu yaweza kulisha Kenya. Ama ulisema nini awali?