Fact check!

Fact check!

Ni mpumbavu tu wa maisha anayeweza kujisifia ulipaji kodi kubwa katika nyumba aliyopanga.
Kijana watu tz ni baba wenye nyumba,ww unajisifia ulipaji kodi mkubwa!!!!
Kweli ww mkenya halisia na nahisi wewe kalenjin kwa hizi sifa za kiduwanzi.
Ata useme kunyaland,twajua Nani ndio mabingwa katika ukanda wa mashariki. Wajua Kodi ninayolipa kwa mwezi ni mshahara wako wa mwaka mzima?
 
Nijihangaishe yann?!
We unajua nimeamka saa ngapi!?
Hii inaonekana kenya mkiamka kitu cha kwanza kushika sim.
Mm nimeamka since dawn nikafanya yangu nikagawa majukumu asa nimetulia.
Ww kahangaike upate hela ya kodi ya kibanda cha kibera kule maana mm sijapanga nina nyumba.
Ni mpumbavu tu wa maisha anayeweza kujisifia ulipaji kodi kubwa katika nyumba aliyopanga.
Kijana watu tz ni baba wenye nyumba,ww unajisifia ulipaji kodi mkubwa!!!!
Kweli ww mkenya halisia na nahisi wewe kalenjin kwa hizi sifa za kiduwanzi.
Wafanya kazi katika ujamaa villages?
 
failed what?
Failed state. Uchumi halisi ni huu hapa.
Screenshot_20190925-112524~2.jpeg
 
Endelea kungoja hizo data [emoji23][emoji23][emoji23]
Maindi tunayo ya kutosha hadi mengine tuliwauzia Zimbabwe juzi.
Rudi upalilie mihogo katika ujamaa village Kama hauna data
 
Pia wewe wapalilia mihogo katika ujamaa village?
 
Mihogo ni mazao kama mazao mengine, hutumika kutengeza unga na bidhaa kibao tu,
Kingine hutumika kama raw material viwandani [emoji23][emoji23][emoji23]au hujui viwanda vyenu hununua mihogo ya Tanzania?

Dah! Mbona nyie wapenda mihogo ivo?
 
Back
Top Bottom